Mesut Ozil ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu

Mesut Ozil ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu

Hivi huyu jamaa ni wapi alikuwa mkali katika ubora wa juu wakati anakipiga na Real Madrid au Arsenal?
Mjerumani mwenye wazazi asili ya Uturuki. Kuna kipindi alilalamika kuwa nchini Ujerumani hawamthamini kwa mchango wake kwa timu ya Taifa hilo. Ndio kipindi ambacho kiwango chake uwanjani kilianza kuyumba.
 
Cr7 ana 38 huyu kibabu Kadabra ana 41 alafu anakuambia yaan ball bado sana hafikirii kusitaafu ingawa kashapitia majeraha kibao,
Ibra Kadabra namkubali sana jamaa. Ana magoli ya ajabu ajabu ambapo hata hujategemea.
images (6).jpeg
 
Mjerumani mwenye wazazi asili ya Uturuki. Kuna kipindi alilalamika kuwa nchini Ujerumani hawamthamini kwa mchango wake kwa timu ya Taifa hilo. Ndio kipindi ambacho kiwango chake uwanjani kilianza kuyumba.
Akamua akimbilie klabu ya nchi ya asiri ya wazazi wake Basaksehir na kule pia akacheza mechi chache sana kwasababu ya majeraha ya mara kwa mara.
 
Vipi kuhusu Yaya toure na Pep???
Pep ni alikuwa adui ya Soka la Yaya. Ukimfuatilia Pep hapendi wachezaji wa Kiafrika wanaotoka timu za taifa zinazofanya vizuri na si kwamba haoni viwango vyao au hawaiingii kwenye mfumo wao.

Wachezaji wengi wazuri wa kiafrika wanarudi kucheza Afcon wakati ligi za ulaya zimepamba moto February . Pep hataki kuona hilo
 
Aaah ndio maana kila anapoenda wachezaji wa kiafrika wanapungua.Vp Mahrez???
 
Majeraha leads to inconsistency. Decent player? Yes. World-class? No. Somewhat overated.
Inconsistency can't be put away from his career especially after being in the bench frequently due to injuries. That's why he agreed himself that it was becoming aware and clear to leave playing football at big stage.
 
Yeah mdau
Aliichezea Arsenal kwa miaka nane, alipopata ofa nono ya kwenda Barcelona hakulaza damu, Ila kilichomkuta huko Barca haha. Anakwambia yeye alichokuwa akijari ni mshahara na si kucheza mpira. Anaongezea kwakusema "Nawaza Niko na familia yangu katika gari la kifahari mitaa ya jiji la Barcelona" Nakumbuka kipindi hiko miaka ya 2012 Barca ilikuwa imesheheni wachezaji hatari kama Pedro, Sanchez, Messi, Iniesta, Puyol, Villa n.k na ilikuwa moto balaa
 
Ila kipaji chake kilikufa eeh?????? Vp Jaap Stam na Andy Cole na Dwight York baada ya kutoka Man united mbona walipotea mkuu????Tatizo linakua nn maana wachezaji wengi wakitoka timu kubwa waga wanapotea mazima.Tatizo waga nn mkuu???
 
Sasa ule ni ushamba wa kidini na ushamba wa kutojua utofauti wa binadamu kwa watu wasioelewa ndio hao wanaomulaumu yeye kusherekea krismasi.Mbona Riyadh Saudia watu krismas wanaalika waarabu wazawa wa pale wanasherekea pamoja.Mohammed Salah muelewa anajua nini maana ya maisha na utofauti wa imani,rangi au itikadi za kisiasa ni vitu vya kuheshimiana sababu watu wote hawawezi kua sawa duniani.
Ni ushamba tu maana hata mwaka mpya ni sherehe yenye uhusiano na ukristo
 
Ila kipaji chake kilikufa eeh?????? Vp Jaap Stam na Andy Cole na Dwight York baada ya kutoka Man united mbona walipotea mkuu????Tatizo linakua nn maana wachezaji wengi wakitoka timu kubwa waga wanapotea mazima.Tatizo waga nn mkuu???
Unajua mpira tukiachana na kipaji cha mtu binafsi inategemea sana na falsafa ya mwalimu. Kuna mchezaji kutokana na kipaji chake anaambiwa fanya kile unachoona kinafaa kuleta matokeo. Na walimu wengi wanategemea tactics zao binafsi katika kufanikisha timu kufikia malengo. Sasa mchezaji anaposhindwa kufit katika salsafa ya kocha wake hapo ndipo tatizo huanzia.
 
Back
Top Bottom