Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani katika mchezaji ambaye amemaliza career yake ya mpira kwa aibu ni Adebayor, hivi unakumbuka alivyokuwa akigombana na ndugu zake wakiume na wakike nchini kwao akisema yeye anatuma hela nyumbani alafu wao wanafanyia anasa, akawaambia hata watumia tena? Sasa mambo Kama hayo yakuyaweka wazi kwenye mitandao kweli?😄😄Hajawa posted popote pale si Arsenal tu. Nenda ya Madrid, UEFA, ESPN nk ila Ozil kila kona