Mesut Ozil ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu

Mesut Ozil ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu

Jana Ozil katangaza kustafu mitandao yote imejaa video zake including page ya Arsenal, RM na UEFA.. Juzi Adebayor alitangaza kustafu pia ila wamemkaushia. Blackballed 😃
 
Safi sana amekomaa sana licha ya ubaguzi wa Europe dhidi ya waislamu
Msomi kwanini unakua dramatic na mbona ujerumani wamejaa waturuki kibao tu na maisha yanaendelea bila ubaguzi,nenda Berlin ujionee waislamu waliojaa pale toka uturuki,arabuni na afrika na wenyeji wanajichanganya pamoja.Ubaguzi upo kote kunapokua na majority ya imani moja, mbona huzungumzii ubaguzi wa waislamu dhidi ya watu wengine wanapokwenda nchi za majority Muslims?????.Au hujawahi kuishi Niger,North Sudan,Qatar,Indonesia,Malaysia,Iraq and ect.....Ubaguzi wa kidini sio Europe tu dhidi ya waislamu,bali hata middle east upo dhidi ya wakrsto.Au haya mambo kuhusu hizi imani za walimwengu msomi huyajui unachangia kwa mihemuko ya kidini??.@ Santos..
 
Msomi kwanini unakua dramatic na mbona ujerumani wamejaa waturuki kibao tu na maisha yanaendelea.Ubaguzi upo kote kunapokua na majority ya imani moja, mbona huzungumzii ubaguzi wa waislamu dhidi ya watu wengine wanapokwenda nchi za majority Muslims?????.Au hujawahi kuishi Niger,North Sudan,Qatar,Indonesia,Malaysia,Iraq and ect.....Ubaguzi wa kidini sio Europe tu dhidi ya waislamu,bali hata middle east upo dhidi ya wakrsto.Au haya mambo kuhusu hizi imani za walimwengu msomi huyajui unachangia kwa mihemuko ya kidini??.@ Santos..
Kuna ile Mo Salsa alivaa nguo za Christmas na mti wa Christmas akaweka nyumbani kwake kilichomkuta hajarudia tena
 
Jana Ozil katangaza kustafu mitandao yote imejaa video zake including page ya Arsenal, RM na UEFA.. Juzi Adebayor alitangaza kustafu pia ila wamemkaushia 😃
Baada ya miaka 9 tokea alipoondoka Arsenal, Adebayor akihojiwa na Television moja ya nchini Uturuki alipokuwa akichezea klabu ya Basaksehir alisema katika maisha yake ya mpira anampenda kocha mmoja tu ambaye ni Mourinho na wengine wote fake akionesha wazi jinsi anavyomchukia aliyekuwa meneja mkuu wa klab ya Arsenal, Arsene Wenger. Aliendelea kusema "Nilikuwa na misimu mitatu na nusu Bora nikiwa Arsenal kabla ya meneja mkuu Wenger kuanza kumuonesha mlango wa kuondoka kwenye klabu niliyoipenda na kwenda Manchester City".
Makocha wengi walitoa kauli nyingi juu ya nidhamu ya wachezaji inavyopaswa kuwa hata pale wanapokumbana na kasumba za kutoaminiwa tena katika mipango ya mameneja wapya wanaokutana nao katika klabu wanazozitumikia au wanazohamishiwa.
Nadhani hili ndilo lilikuwa Jambo lililompotezea CREDIBILITY mchezaji Adebayor na kujipotezea heshima mbele ya mashabiki na wataalamu wa mpira wa miguu.
 
I partially agree with you, he was decent not an elite type of player kama ambavyo inaaminishwa. He lacked consistency pia nadhani ndo maana kastafu mapema pia.
Amestaafu mapema kwasababu kubwa ya majeraha ya mara kwa mara anayokutana nayo mwenyewe ameainisha hilo.
 
Kuna ile Mo Salsa alivaa nguo za Christmas na mti wa Christmas akaweka nyumbani kwake kilichomkuta hajarudia tena
Mkuu pamoja na Wamisri kumponda Mo Salah kuonesha kusupport sherehe ya Kikristo kwa kupiga picha akiwa na familia yake pembeni ya mti wa Christmas lakini mshambuliaji huyo wa Liverpool amekuwa akirudia kitendo hiko kila ifikapo Christmas Eve. Mwaka Jana ilikuwa ni mara ya pili
 
Kuna ile Mo Salsa alivaa nguo za Christmas na mti wa Christmas akaweka nyumbani kwake kilichomkuta hajarudia tena
Sasa ule ni ushamba wa kidini na ushamba wa kutojua utofauti wa binadamu kwa watu wasioelewa ndio hao wanaomulaumu yeye kusherekea krismasi.Mbona Riyadh Saudia watu krismas wanaalika waarabu wazawa wa pale wanasherekea pamoja.Mohammed Salah muelewa anajua nini maana ya maisha na utofauti wa imani,rangi au itikadi za kisiasa ni vitu vya kuheshimiana sababu watu wote hawawezi kua sawa duniani.
 
Baada ya miaka 9 tokea alipoondoka Arsenal, Adebayor akihojiwa na Television moja ya nchini Uturuki alipokuwa akichezea klabu ya Basaksehir alisema katika maisha yake ya mpira anampenda kocha mmoja tu ambaye ni Mourinho na wengine wote fake akionesha wazi jinsi anavyomchukia aliyekuwa meneja mkuu wa klab ya Arsenal, Arsene Wenger. Aliendelea kusema "Nilikuwa na misimu mitatu na nusu Bora nikiwa Arsenal kabla ya meneja mkuu Wenger kuanza kumuonesha mlango wa kuondoka kwenye klabu niliyoipenda na kwenda Manchester City".
Makocha wengi walitoa kauli nyingi juu ya nidhamu ya wachezaji inavyopaswa kuwa hata pale wanapokumbana na kasumba za kutoaminiwa tena katika mipango ya mameneja wapya wanaokutana nao katika klabu wanazozitumikia au wanazohamishiwa.
Nadhani hili ndilo lilikuwa Jambo lililompotezea CREDIBILITY mchezaji Adebayor na kujipotezea heshima mbele ya mashabiki na wataalamu wa mpira wa miguu.
Mkuu kwahiyo adebayor na ozil walitakiwa kuvumilia kukaa benchi.Nae adebayor katangaza kustaafu mpira ila CR7 ameitwa tena kikosini ureno
 
Mkuu kwahiyo adebayor na ozil walitakiwa kuvumilia kukaa benchi.Nae adebayor katangaza kustaafu mpira ila CR7 ameitwa tena kikosini ureno
Swala sio kuvumilia bali kuonesha chuki juu ya makocha au mameneja pale wanapokuwa hawana mipango na wachezaji. Kuuzwa au kupelekwa mkopo klabu nyingine hiyo ni kawaida katika ulimwengu wa soka.
 
Mkuu pamoja na Wamisri kumponda Mo Salah kuonesha kusupport sherehe ya Kikristo kwa kupiga picha akiwa na familia yake pembeni ya mti wa Christmas lakini mshambuliaji huyo wa Liverpool amekuwa akirudia kitendo hiko kila ifikapo Christmas Eve. Mwaka Jana ilikuwa ni mara ya pili
Ndio hivyo yeye anaishi dunia yake ingawa wavaa kobazi wanampiga spana sana hawataki asherehekee Christmas
 
Back
Top Bottom