Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Yaya toure na Samuel etoo mpaka leo wanamchukia Pep.Swala sio kuvumilia bali kuonesha chuki juu ya makocha au mameneja pale wanapokuwa hawana mipango na wachezaji. Kuuzwa au kupelekwa mkopo klabu nyingine hiyo ni kawaida katika ulimwengu wa soka.
Mjerumani mwenye wazazi asili ya Uturuki. Kuna kipindi alilalamika kuwa nchini Ujerumani hawamthamini kwa mchango wake kwa timu ya Taifa hilo. Ndio kipindi ambacho kiwango chake uwanjani kilianza kuyumba.Hivi huyu jamaa ni wapi alikuwa mkali katika ubora wa juu wakati anakipiga na Real Madrid au Arsenal?
Akamua akimbilie klabu ya nchi ya asiri ya wazazi wake Basaksehir na kule pia akacheza mechi chache sana kwasababu ya majeraha ya mara kwa mara.Mjerumani mwenye wazazi asili ya Uturuki. Kuna kipindi alilalamika kuwa nchini Ujerumani hawamthamini kwa mchango wake kwa timu ya Taifa hilo. Ndio kipindi ambacho kiwango chake uwanjani kilianza kuyumba.
Amestaafu mapema kwasababu kubwa ya majeraha ya mara kwa mara anayokutana nayo mwenyewe ameainisha hilo.
Pep ni alikuwa adui ya Soka la Yaya. Ukimfuatilia Pep hapendi wachezaji wa Kiafrika wanaotoka timu za taifa zinazofanya vizuri na si kwamba haoni viwango vyao au hawaiingii kwenye mfumo wao.Vipi kuhusu Yaya toure na Pep???
Aaah ndio maana kila anapoenda wachezaji wa kiafrika wanapungua.Vp Mahrez???Pep ni alikuwa adui ya Soka la Yaya. Ukimfuatilia Pep hapendi wachezaji wa Kiafrika wanaotoka timu za taifa zinazofanya vizuri na si kwamba haoni viwango vyao au hawaiingii kwenye mfumo wao.
Wachezaji wengi wazuri wa kiafrika wanarudi kucheza Afcon wakati ligi za ulaya zimepamba moto February . Pep hataki kuona hilo
Inconsistency can't be put away from his career especially after being in the bench frequently due to injuries. That's why he agreed himself that it was becoming aware and clear to leave playing football at big stage.Majeraha leads to inconsistency. Decent player? Yes. World-class? No. Somewhat overated.
Namkumbuka yule bishoo mkameruni beki wa arsenal ana rasta za rangi rangi kichwani aliendaga Barcelona baada ya HenryPep ni adui mkubwa wa wachezaji wa kiafrika. Ameua viwango vya wachezaji wengi wakiwa bado na mipira yao miguuni
Yeah mdauUnamuongelea Alex Song nimemkumbuka
Aliichezea Arsenal kwa miaka nane, alipopata ofa nono ya kwenda Barcelona hakulaza damu, Ila kilichomkuta huko Barca haha. Anakwambia yeye alichokuwa akijari ni mshahara na si kucheza mpira. Anaongezea kwakusema "Nawaza Niko na familia yangu katika gari la kifahari mitaa ya jiji la Barcelona" Nakumbuka kipindi hiko miaka ya 2012 Barca ilikuwa imesheheni wachezaji hatari kama Pedro, Sanchez, Messi, Iniesta, Puyol, Villa n.k na ilikuwa moto balaaYeah mdau
Ila kipaji chake kilikufa eeh?????? Vp Jaap Stam na Andy Cole na Dwight York baada ya kutoka Man united mbona walipotea mkuu????Tatizo linakua nn maana wachezaji wengi wakitoka timu kubwa waga wanapotea mazima.Tatizo waga nn mkuu???Aliichezea Arsenal kwa miaka nane, alipopata ofa nono ya kwenda Barcelona hakulaza damu, Ila kilichomkuta huko Barca haha. Anakwambia yeye alichokuwa akijari ni mshahara na si kucheza mpira. Anaongezea kwakusema "Nawaza Niko na familia yangu katika gari la kifahari mitaa ya jiji la Barcelona" Nakumbuka kipindi hiko miaka ya 2012 Barca ilikuwa imesheheni wachezaji hatari kama Pedro, Sanchez, Messi, Iniesta, Puyol, Villa n.k na ilikuwa moto balaa
Ni ushamba tu maana hata mwaka mpya ni sherehe yenye uhusiano na ukristoSasa ule ni ushamba wa kidini na ushamba wa kutojua utofauti wa binadamu kwa watu wasioelewa ndio hao wanaomulaumu yeye kusherekea krismasi.Mbona Riyadh Saudia watu krismas wanaalika waarabu wazawa wa pale wanasherekea pamoja.Mohammed Salah muelewa anajua nini maana ya maisha na utofauti wa imani,rangi au itikadi za kisiasa ni vitu vya kuheshimiana sababu watu wote hawawezi kua sawa duniani.
Adebayo aliondoka ovyo ArsenalJana Ozil katangaza kustafu mitandao yote imejaa video zake including page ya Arsenal, RM na UEFA.. Juzi Adebayor alitangaza kustafu pia ila wamemkaushia. Blackballed [emoji2]
Unajua mpira tukiachana na kipaji cha mtu binafsi inategemea sana na falsafa ya mwalimu. Kuna mchezaji kutokana na kipaji chake anaambiwa fanya kile unachoona kinafaa kuleta matokeo. Na walimu wengi wanategemea tactics zao binafsi katika kufanikisha timu kufikia malengo. Sasa mchezaji anaposhindwa kufit katika salsafa ya kocha wake hapo ndipo tatizo huanzia.Ila kipaji chake kilikufa eeh?????? Vp Jaap Stam na Andy Cole na Dwight York baada ya kutoka Man united mbona walipotea mkuu????Tatizo linakua nn maana wachezaji wengi wakitoka timu kubwa waga wanapotea mazima.Tatizo waga nn mkuu???
Adebayo aliondoka ovyo Arsenal