Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hata hivyo alishapoteza mvuto. sasaivi Maria sarungi ndio dada wa taifa. wameona anatengeneza mpunga bila wao kufaidika. na hata x watamfurumua tu.Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
Ndoa ipi? Yule mzungu wake alishatoka mbio, ule mdomo nani atauweza? Labda mume mzaramo.Round hii Mange aje na ID asiyojulikana ili apate wafuasi ila shida inakuja hagopata wafuasi kama watu hawatojua ni MANGE.
lakini anaweza jikita kwenye content ili apatr real followers wanaofata content na sio UMBEA.
Atunz3 ndoa tu sasa ndio kazi haez fungiwa au katazwa
Wao nani hadi mtu apate laana kwa ajili yao! Acha kuwakuza kwa sababu wewe unawaabudu.Laana ya kuwatukana Magufuli, Samia, Makonda
Acha kujidanganya MangiMbona Mange hilo alilijua na akasema atafungua website na ilikuwa katika hatua za mwisho kuimalizia. Na alisema kule kwenye website ndio itakuwa balaa
mimi tangu amekuwa mwana mipasho na muumini wa picha za utupu hata simuelewi wamfungie mileleRound hii Mange aje na ID asiyojulikana ili apate wafuasi ila shida inakuja hagopata wafuasi kama watu hawatojua ni MANGE.
lakini anaweza jikita kwenye content ili apatr real followers wanaofata content na sio UMBEA.
Atunz3 ndoa tu sasa ndio kazi haez fungiwa au katazwa
Safi...Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
Machadema walimpendaga saaana πββοΈπββοΈmimi tangu amekuwa mwana mipasho na muumini wa picha za utupu hata simuelewi wamfungie milele
Pole sana MangiAngalia post #27 We boya π€£π€£π€£
Makupa
π€£π€£π€£π€£Pole sana Mangi
Angalia post #27 π€£π€£π€£Huyo mpare alivyo mbishi soon utashangaa anaibuka tena πΉπΉ
Wapare wana ngozi ngumu
Walimfungia account moja ya Instagram akawapeleka mahakamani akawashinda na kuamriwa wamlipe $1200 na gharama za kesi.Duh!kizimkazi anamkono marefu sana.Meta Kawapigia simu kama anavyowapigia mahakimu namna ya kuamua kesi? Hatari sana hii nchi
Wasagaji wamemchongea baada ya kuwaumbuaMwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
I hope itakuwa imetumia pesa ndefa sanaSerikali ya Tanzania inatumia gharama kubwa sn kupambana na Mange badala ya kupambana na umasikini wa watanzania