Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Afrika lolote linawezekana Mkuu..Hii ya Samia kutaka kumfanya mtoto wake mkuu wa majeshi nilivyoona watu wanaamini nilishangaa sana maana ni jambo lisilo wezekana labda huyo mtoto wake angekua tayari yupo ndani ya jeshi na siyo sahivi kwa miaka aliyobakiza madarakani kashachelewa hiyo plan haifanyi kazi
Hilo haliwezekani hiyo ni plan ya muda mrefu inafanya kazi kwa Rais aliekaa muda mrefu madarakani kama Kagame na Museven,, au kama tayari samia angemkuta mtoto wake tayari yuko Jeshini.Afrika lolote linawezekana Mkuu..
HowSerikali ya Tanzania inatumia gharama kubwa sn kupambana na Mange badala ya kupambana na umasikini wa watanzania
Wamfungie tu hata kwenda haja. Ni lijinga, hawezi kusaidia upinzani kupambana na chama tawala wala kusaidia serikali kujirekebisha sababu hana hiyo heshima katika jamii japo ana watu wanatazama mambo anayopostNgoja afunguliwe aje kumalizana na kijani chenu
Wapuuzi wakubwa nyie, tumieni hizo nguvu kuwaletea maendeleo watanzaniaSerikali haijaamua wala haina mpango WA kuhangaika na mama ma wig aliyezini na Baba yake hadi akajiua, anahangaika na kivuli chake mwenyewe.
Huna macho?
Hayo ni matatizo ya Afya ya Akili !!Hivi huwa ana ndugu kweli au kabaki peke yake duniani? Maana hanaga aibu anamatusi kinoma kwa mtu ambae una watu wa karibu unao heshimiana nao huwezi kuwa na ujasiri wa namna ile maana ni kama unavua nguo sokoni mchana kweupe
Machadema wanajiheshimu huku mitaani kwa sababu hawana immunity ya kudhalilisha watu kama Vijana wa Chamani kwetu 😳🙄🙄 !Kina nani zaidi ya Machadema na wengine?
Tatizo lake kuu ni matusi tu !Huyo dada ni mtu wa ovyo sana
Lazima awe hivyo, mtu hawezi akazaliwa na kulelewa ndani ya mifumo ya CCM na kufaidi fursa zake za kilaana halafu abaki akiwa timamu kichwani. Ashukuru kuwa yupo Marekani kajijuta anaishia kuwa mtukanaji, angekuwepo huko angekuwa ni sehemu ya either Malaya wa Chama na serikali au angekuwa sehemu ya kikosi cha watekaji na wauaji.Ana roho ya kinyama sana yule dem,ile ubepari ni unyama ya nyerere ndiyo imeonekana kwake,anachojali hela tu,wewe ndoa ikivunjika, heshima vunjika,ukijinyonga utajua mwenyewe
Huna akili.Maria Sarungi naye afungiwe pamoja na yule anayejiita Kigogo 2014 ili nchi itulie. Hawa wanachafua nchi yetu mbele ya mataifa mengine. Hakuna nchi hapa duniani inayoruhusu mambo wanayotenda hawa watu ambao kwanza hawaishi hapa Tanzania. Ni puppets wanaotakiwa kukamatwa na kushughulikiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
Sijazungumzia kuhusu Rais aliepo madarakani nasema Afrika lolote linawezekana maana hata wengi wanaoteuliwa ni wale wale tuHilo haliwezekani hiyo ni plan ya muda mrefu inafanya kazi kwa Rais aliekaa muda mrefu madarakani kama Kagame na Museven,, au kama tayari samia angemkuta mtoto wake tayari yuko Jeshini.
Kusema sahivi amteue mtoto wake kuwa CDF wakati huu kwa muda aliobakiza hataweza
Keisha habari yake...Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
Huyu hapa ana ana followe 1444 tayari
Huyo Maria Sarungi wako alishakimbia nchi yetu. Akakimbilia nchi moja ya huko ughaibuni. Akaukana uraia wa Tanzania ili kupata uraia wa hiyo nchi ya ughaibuni. Hivyo si raia tena wa Tanzania. Iweje awe na mandate wa ku expose madudu ya nchi yetu (kama yapo)? Yana muhusu nini madudu yetu huyo mkimbizi? Si ajaribu ku expose madudu ya nchi alikokimbilia aone moto utakavyoyaunguza maka..... yake? Shame on her?Huna akili.
Eti hakuna nchi duniani, acheni kufanya madudu, maria ana expose madudu, acheni kuua watu nyie mtakufa pia