am sure hujawahi kucheza mpira ila ni shabiki wa mpira ambaye mambo ya mpira yakuumiza sana na hasa matukio ya yanga;Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
kwani sheria inasemaje kuhusu ili la mdhamini 1 kudhamini timu zaidi ya 1?Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba
Kwani mwenzetu ulicheza mpira timu gani ili nami nikueleze na ushahidi sio udimke tu!am sure hujawahi kucheza mpira ila ni shabiki wa mpira ambaye mambo ya mpira yakuumiza sana na hasa matukio ya yanga;
hii tuuma yako kwa mnata ni rushwa if unaona izo dalili nenda TAKUKURU
Ushauri kama una marashi tumboni kunywa pili pili!kwani sheria inasemaje kuhusu ili la mdhamini 1 kudhamini timu zaidi ya 1?
Sana mpaka ulaya jee wewe umewahi kupiga dana dana!Mkuu umewahi kucheza mpira?
kwanini sasa tusiweke mifano hai kutokana na tukio husika na mada yako,Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
ndiyo lugha gani hii mkuu haileweki kabisaUshauri kama una marashi tumboni kunywa pili pili!
Yanga BingwaaaaaaTimu ya taifa haiwezi kufanya vyema mpira wa magahamu!
Kijili nae alilipwa bei gani?Yuko wapi?
Kwani Ihefu ilipoifunga Yanga ubingwa haukwenda Jangwani? Na wewe unaefungwa mara NNE mfululizo na Yanga nani anakudhamini?Unajizima data unajua sana hao ndio mada kuu mwigulu kainunua ihefu kisa ilikuwa kikwazo kwa yanga Gsm mpaka leo anamlipa metacha na kuidhamini ihefu black stars!
Kijili hakulipwa ila huyo akichoka black stars anarudi yanga akichoka yanga anarudi black stars hata kama kipofu basi jitahidi kupapasa!Kijili nae alilipwa bei gani?
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Coastal inadhaminiwa na GSM ndio maana itaendelea kufungwa mpaka dunia iishe wamekiuka misingi ya mpira!Kwani Ihefu ilipoifunga Yanga ubingwa haukwenda Jangwani? Na wewe unaefungwa mara NNE mfululizo na Yanga nani anakudhamini?
Madrid ya kwa mpalange!Hata kipa wa Real Madrid like goli angegongwa
Maradhi!ndiyo lugha gani hii mkuu haileweki kabisa
Rudia kusoma uzi usikimbilie kujibu!kwanini sasa tusiweke mifano hai kutokana na tukio husika na mada yako,
alafu wewe umeanza kuzungumzia habari za mnata zen unatulazimisha kuzungumzia kuhusu GSM tena
mkuu upo sawa kweli uko Barcelona au ni depression???🤔
Maskin maskin Nyau fc kila sehem ya moto ,,ina maana metacha alivyo sevu mashut mengi huyaoni unaona la kufungwa tuu? Mbona manula tulimla ,akaja Ayub mwarabu yule tukamla akaja na dogo Ally Salim tukamla ,inakuaje metacha unamtupia lawama?? Attempt zote zile yanga walifanya huzioni ? Kipa alifanya kazi yake Tena Zaid usmkatishe tamaaGolikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Nyau fc hata wakipigwa na timu yeyote watasema kua yanga inahuska wao kupigwa hawawez kosa kisingizio watasema hata yanga walinunua waliohonga kipa wao afungweSoka bovu lipo kwa makolo, mechi ya jana ilikuwa bora sana, Singida ile itampiga mtu 3 bila, nimekaa palee.
Ile michomo aliyookoa bado walikuwa hawajafikia bei?Metacha ni kipa kweli!
Madrid ya kwa mpalange!