Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
am sure hujawahi kucheza mpira ila ni shabiki wa mpira ambaye mambo ya mpira yakuumiza sana na hasa matukio ya yanga;

hii tuuma yako kwa mnata ni rushwa if unaona izo dalili nenda TAKUKURU
 
Kwani mwenzetu ulicheza mpira timu gani ili nami nikueleze na ushahidi sio udimke tu!
 
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
kwanini sasa tusiweke mifano hai kutokana na tukio husika na mada yako,

alafu wewe umeanza kuzungumzia habari za mnata zen unatulazimisha kuzungumzia kuhusu GSM tena

mkuu upo sawa kweli uko Barcelona au ni depression???🤔
 
Unajizima data unajua sana hao ndio mada kuu mwigulu kainunua ihefu kisa ilikuwa kikwazo kwa yanga Gsm mpaka leo anamlipa metacha na kuidhamini ihefu black stars!
Kwani Ihefu ilipoifunga Yanga ubingwa haukwenda Jangwani? Na wewe unaefungwa mara NNE mfululizo na Yanga nani anakudhamini?
 
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .

Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.

Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,

Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!

Hata kipa wa Real Madrid like goli angegongwa
 
Kwani Ihefu ilipoifunga Yanga ubingwa haukwenda Jangwani? Na wewe unaefungwa mara NNE mfululizo na Yanga nani anakudhamini?
Coastal inadhaminiwa na GSM ndio maana itaendelea kufungwa mpaka dunia iishe wamekiuka misingi ya mpira!
 
kwanini sasa tusiweke mifano hai kutokana na tukio husika na mada yako,

alafu wewe umeanza kuzungumzia habari za mnata zen unatulazimisha kuzungumzia kuhusu GSM tena

mkuu upo sawa kweli uko Barcelona au ni depression???🤔
Rudia kusoma uzi usikimbilie kujibu!
 
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .

Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.

Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,

Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Maskin maskin Nyau fc kila sehem ya moto ,,ina maana metacha alivyo sevu mashut mengi huyaoni unaona la kufungwa tuu? Mbona manula tulimla ,akaja Ayub mwarabu yule tukamla akaja na dogo Ally Salim tukamla ,inakuaje metacha unamtupia lawama?? Attempt zote zile yanga walifanya huzioni ? Kipa alifanya kazi yake Tena Zaid usmkatishe tamaa
Soka bovu lipo kwa makolo, mechi ya jana ilikuwa bora sana, Singida ile itampiga mtu 3 bila, nimekaa palee.
Nyau fc hata wakipigwa na timu yeyote watasema kua yanga inahuska wao kupigwa hawawez kosa kisingizio watasema hata yanga walinunua waliohonga kipa wao afungwe
 
Unamuonea tuu metacha ule mpira mpigaji alimuona metacha upande alipo wa kushoto hivyo yeye akapiga kulia mbali kabisa so metacha asingeweza kuruka na kuufikia mpira vinginevyo angevunjika mbavu elewa ana watoto wanamtegemea. hivyo akaona isiwe tabu akachutama na kukubali matokeo ya n
 
Back
Top Bottom