Mexico yatajwa nchi hatari zaidi kwa waandishi wa habari 2022

Mexico yatajwa nchi hatari zaidi kwa waandishi wa habari 2022

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Shirika la kutetea haki za wanahabari, Reporters without borders limesema Mexico imekuwa nchi hatari zaidi kwa wanahabari wa nje ya maeneo ya vita kwa mwaka 2022
-
Luis Enrique Ramirez Ramos amekuwa mwandishi wa habari wa tisa kuuawa nchini Mexico mwaka 2022 katika mwaka ambao umeonekana kuwa mbaya sana kwa wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini humo.
-
Mwili wa Ramirez Ramos ulipatikana kwenye barabara ya udongo ukiwa umefungwa kwa plastiki katika mji mkuu wa jimbo la Sinaloa siku ya Alhamisi Mei 5 ukiwa na majeraha sehemu za kichwani ambapo Shirika hilo limedai ameuawa japokuwa chanzo cha mauaji yake hakijajulikana

....................................

Luis Enrique Ramirez Ramos has become the ninth journalist killed in Mexico in 2022 in what has proven to be a particularly deadly year for media workers in the country.

Ramirez Ramos’s body was found on a dirt road wrapped in plastic near a junkyard in the capital of Sinaloa state on Thursday. Prosecutors said he died from multiple blows to the head.

“It was definitely a murder,” Balbina Flores, a representative of media rights group Reporters Without Borders, told the AFP news agency.

According to the group, Ramirez is the ninth journalist killed so far this year in Mexico, making the country the most dangerous for media workers outside of war zones.

A motive for the killing was not immediately known, but Sinaloa state is the stronghold of notorious narcotics kingpin Joaquin “El Chapo” Guzman’s Sinaloa cartel.

Reporters are often targeted in provincial Mexico for highlighting drug cartels and their connections to local politicians and police.

Source: Aljazeera
 
Walanguzi wa madawa huko ndio kwao hawafai...
 
wauza ngada washafanya yao
 
Back
Top Bottom