Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga? Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Kwani shaka ni mtu wa upinzani [emoji1787][emoji1787]
 
Mother City ni wapi?
 
Tunalinda human existence maana ili kuendelewa kuwepo wanadamu, tunahitaji muingiliano baina ya jinsia mbili tofauti.
okay...na vipi mapadri na masista...mbona mnaruhusu waendelee kupunguza human existence?
 
Hoja ijibiwe kwa hoja vinginevyo ni ukasuku
Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga? Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels
 
Kwa taarifa yako wanaume Wachagga ndiyo wanaongoza kwa ushoga, usijidanganye kuwa wamepelekewa na CCM. Tutakuwekea hapa majina utashangaa. Kaa kimya
Utafiti uliufanyia wapi ndugu?
Bange na ugoro una madhara sana, ACHA
 
Wako small in number na hawaambukizi ujue, hii trend ya gays inaambukizwa
kusingekuwa na mapadri watu wangeenda kusomea upadri? Kama jibu ni hapana means inaambukizwa.

Mimi nafikiri power ya kucontrol population ya specie ni kubwa sana kumpa mtu/serikali ... hiyo tuiachie nature/mungu
 
kusingekuwa na mapadri watu wangeenda kusomea upadri? Kama jibu ni hapana means inaambukizwa.
Mi nafikiri power ya kucontrol population ya specie ni kubwa sana kumpa mtu/serikali ..hiyo tuiachie nature/mungu
Kila kitu tukiiachia nature patakuwa hapatoshi.

Ikija pandemic iachiwe nature, uchafuzi wa mazingira iachiwe nature.

Kiuhalisia, TZ ni kama imekubali ushoga ila tu ambacho haikubali nikukiri hadharani 😂
 
Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga? Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
ccm wote mbona mashoga tu na ndo sera yao, we ulichelewa wapi
 
Kila kitu tukiiachia nature patakuwa hapatoshi.
Ikija pandemic iachiwe nature, uchafuzi wa mazingira iachiwe nature.
Kiuhalisia, TZ ni kama imekubali ushoga ila tu ambacho haikubali nikukiri hadharani 😂
itafika mda sasa population imepungua watu mtakuwa mnalazimishwa na serikali kujamiiana kwa lazima....

Mimi nadhani ushoga upingwe kwa sababu za kidini and the like lakini serikali isiyo na dini sio pahala pake...au wewe unasemaje?
 
... unakubaliana nao?
Swali la jamaa ni zuri sana, Likijibiwa vizuri litatoa ukakasi kwa wengi; Mfano Serikali inazuia matumizi ya Bangi kwa sababu fulani, Inazuia matumizi ya Madawa ya Kulevya kwa sababu fulani, inaruhusu Matumizi ya vileo vilivyoidhinishwa kwasababu fulani? Base ya Serikali kupinga ipo wapi? Mimi siungi mkono ila nahitaji kujua base ya Serikali kukubali/ kukataa Mapenzi ya jinsia Moja
 
itafika mda sasa population imepungua watu mtakuwa mnalazimishwa na serikali kujamiiana kwa lazima....
Mi nadhani ushoga upingwe kwa sababu za kidini and the like lakini serikali isiyo na dini sio pahala pake...au wewe unasemaje?
Mimi nasema serikali isipromote ushoga, the more promo zinavyozidi the more watu wanaona kawaida and the more watu wengine wanaingia.

Jiulize mwaka 2000 shoga alikuwa anaonekanaje mbele ya jamii na sasa anaonekanaje?

Now ni watangazaji wanapeea airtime ya kutosha hivyo vijana wanaona kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…