PostGE2025 Meya wa Dar Awaita Wananchi Kutoa Ushahidi Wa Ghasia Za Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
 
View attachment 3661761

Mbona Kama mtego😆😆
 
Hapa kuna tume huru kweli?
Imeundwa na kupewa hadidu rejea na upande wenye maslahi, ambao kimsingi, na wenyewe unachunguzwa.
Maajabu ni kwamba ndio watakaokabidhiwa taarifa na mapendekezo.

Hapa ilitakiwa tume huru, kutoka nje au hii ifanye kazi chini ya uangalizi wa vyombo vya kimataifa.

Kwa kinachoendelea, ni kama tunataka kujikosha kwamba tumewajibika na kuchukua hatua kwa yale yaliyotokea 29 October.
 
View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
Huu ni mwaka wa kobazi kila sehemu. Watanganyika mnakenua tu

Hivi kwanini kwenye hizo picha za Meya wastaafu wameondoa Picha ya Isaya Mwita? Ina maana Dar haikuwa na Meya kutokea 2015-2020?

CCM wana siasa za kishamba sana,
 
View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
SAsa itakuwaje
 
Faki him and faki them all. No reasonable person is going to waste time talking to mazafakas that have been empaneled cunningly to create support for preconceived conclusions!
 
View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
Kwani yeye ni sehemu ya tume ya uchunguzi?
 
Back
Top Bottom