MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Imenishangaza piaHivi kwanini kwenye hizo picha za Meya wastaafu wameondoa Picha ya Isaya Mwita? Ina maana Dar haikuwa na Meya kutokea 2015-2020?
CCM wana siasa za kishamba sana,
Imenishangaza piaHivi kwanini kwenye hizo picha za Meya wastaafu wameondoa Picha ya Isaya Mwita? Ina maana Dar haikuwa na Meya kutokea 2015-2020?
CCM wana siasa za kishamba sana,
Unaenda zako Vizuri kutoa ushirikiano unashangaa wanakuchukua Kama shaidi wa Mfano
Ushahidi gani Tena?View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.