Mbona Kama mtego😆😆View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
Mbona Kama mtego😆😆
Unaenda zako Vizuri kutoa ushirikiano unashangaa wanakuchukua Kama shaidi wa MfanoMtego huu wa wazi wazi
Huu ni mwaka wa kobazi kila sehemu. Watanganyika mnakenua tuView attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
View attachment 3661761

Hivi kwanini kwenye hizo picha za Meya wastaafu wameondoa Picha ya Isaya Mwita? Ina maana Dar haikuwa na Meya kutokea 2015-2020?View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
Hivi umeya hauna mgomnea awe na vipengele fulani fulaniAna taarifa Boss wao kasema Jiji la Daslam ni chafu kupindukia?
SAsa itakuwajeView attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
Faki him and faki them all. No reasonable person is going to waste time talking to mazafakas that have been empaneled cunningly to create support for preconceived conclusions!View attachment 3661761
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila ipo katika wilaya ya Ilala kwenye viwanja vya Karimjee Posta kuanzia August 31 hadi Septemba 4 ikiwasikiliza Wananchi.
Kwani yeye ni sehemu ya tume ya uchunguzi?View attachment 3661761