PostGE2025 Meya wa Dar Awaita Wananchi Kutoa Ushahidi Wa Ghasia Za Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anawaita wakina nani sasa wakati walitufungia ndani hakuna kutoka na waliotoka waliwauwa kwa kuwapiga shaba za kichwa, wazipeleke zile maiti walizozificha zikatoe ushahidi si wamezificha bado
 
Huyo sio meya , halafu anakusanya ushahidi katika capacity ipi?

Watu wasiende maana lengo la hilo genge ni kujua watu walioshuhudia matukio hayo na wenye ushahidi mzito ili wauwe.

Watulie hadi siku tume halali isiyochaguliwa na wauaji ikija ndio wapeleke ushahidi.
 
Ushahidi gani Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…