Mlimnanga sana mwendazake na kumsifia kwa sana mama, sasa kiko wapi? we kubali tu yaishe kama alivyofanya mwenyekiti wako, kwa siasa za Tanzania ukiziweka sana kifuani utapata ugonjwa wa moyo na kuacha familia yako ikiteseka, Jenerela Ulimwengu ana kamsemo kake kila ''mtu na kamhogo kake'' wacha watuwasifie ndivyo wanavyoishi kula yao inategemea na upepo wa mwenye kigoda.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA...
Mbowe ndiye aliyekuletea Katiba Mpya , hamtadhulumiwa tena mpunga wenu hapo kyelaMlimnanga sana mwendazake na kumsifia kwa sana mama, sasa kiko wapi? we kubali tu yaishe kama alivyofanya mwenyekiti wako, kwa siasa za Tanzania ukiziweka sana kifuani utapata ugonjwa wa moyo na kuacha familia yako ikiteseka, Jenerela Ulimwengu ana kamsemo kake kila ''mtu na kamhogo kake'' wacha watuwasifie ndivyo wanavyoishi kula yao inategemea na upepo wa mwenye kigoda.
Mkuu kwa nukuu ya mzee Makamba ''hatuli katiba mpya'' na si mweli kwamba Mbowe ndie katuletea katiba, huko ni uongo.Mbowe ndiye aliyekuletea Katiba Mpya , hamtadhulumiwa tena mpunga wenu hapo kyela
Aliyetuchawia watanzania ana roho mbaya sana. Hakuna msomi wala nini, hakuna tofautiKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA...
😆😆😆😆
Washalipa Kodi hawa Wasafi? Au ndiyo wanaikwepa mazima kwa kutumia uchawa?Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Mkuu mwenyewe hapo umeona hiyo kituko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe mbona ni chawa wa Mbowe lakini watu hatusemi?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu mzee msenge sana
Badala ya kuwaza namna la kulifanya jiji liwe safi kwa kuhamasisha haohao anaowakusanya kufanya usafi,anazindua upuuzi na ujinga kama huu......hivi Tz tulimkosea nini MUNGU?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Inasikitisha sana kwakweliHahahahah hii ndio awamu ya walamba asali bana. We andaa event andaa warsha andaa ukaguzi chochote unachoweza. Andikia tu hela zitatoka ku finance unakula genji lako maisha yanaenda bila kelele.
Watanzania ni wapuuzi na hio ni given kama pie. Watalalamika siku 2/3 kisha kimya maisha yanaendelea.
Tehteh mkuu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Huyu mzee msenge sana
KAMA KWELI HILO LITATOKEA NA KUTENDEKA basi ktk Awamu zote zilizotawala Nchi hii basi AWAMU hii kwa KITENDO hicho itakuwa AWAMU ya HOVYO kupata KUTOKEAKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .