Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA ...
Hekima sasa inabidi itumike hapa badala ya kutumia neno CHAWA, atafute neno jingine asije akazindua kitu ambacho kinaweza kikaleta NEGATIVE CONNOTATIONS ambazo zinaweza kupelekea kumporomosha Mama kisiasa.

Mpango ni superb lakini neno CHAWA halifai kutumika kwenye mpango huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…