Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

Hii ya kuhama vyama ni hoja ya kindezi sana. Hivi hawaoni ni shilingi ngapi wanapoteza kuwanunua, kugharamia uchaguzi na kupoteza rasilimali muda?

Mataifa ya Afrika yana matatizo gani kwani?
 

Wakati kila Siku Wazungu ' wakisheherekea ' kufanya ' Scientific Discoveries ' nyingi zenye ' Tija ' ya Kimaendeleo, Kijamii na Kiuchumi Kwao Tanzania tunafurahia Wabunge kuhama au kuwashawishi wahame. Acheni tu Wazungu watuite ' Minyani ' na waseme hatuna akili. Kama kuna lawama ambayo nitampa Maulana / Mola ni Kuniumba ' Muafrika ' hivi japo namshukuru tu ya kwamba ' akili ' amenizawadia kama za Wazungu na hasa Wayahudi / Waisraeli.
 
Mtei anasema nini kuhusiana na hili.
 
Mkuu umeandika point sana,sasa jitathimini kama ccm inakufaa,tazama akili zao zilivyo,they don't walk your way,so you better walk away from them.
 
Heeee hadi RC kwenye birthday jamani?
Tanzania ya sasa imekuwa ya kushangaza kila Leo sijajua nini kimelikumba taifa? Lazima tukumbuke kuiombea nchi yetu bila kuchoka na tusiache kushauri kilicho chema kwa mustakabali mema wa nchi yetu (watoto wetu na kizazi chao warithi Tanzania iliyo bora).
 
haa haa waende tu. kwa mfano kubenea akihama atakuwa kajivua nguo mwenyewe. maana katoa matamko mengi kupinga hili. ni bora akae kimya awakilishe wananchi wa ubungo hadi 2020
 
Updates:
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

Primary Head teacher atakuwa Mobeto na Secondary School Head mistress atakuwa Sepenga
Cant wait kuiona nchi ya Viwonder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…