Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukohuko mkuu sasa hivi hana mshipa wa aibu kabisaHivi huko ndo huwa anaenda kugegeda muke ya mutu ?jamaa lifuska sana na upara wake.
Ni nini? bendera?CCM siyo mtu
Duh hili jamaa halina tofauti na Idd Amin,nasikia lilikoswakoswa kupigwa shaba ndo maana likaongezewa ulinzi hivyo.Hukohuko mkuu sasa hivi hana mshipa wa aibu kabisa
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama no John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Helaga ww kina bashite wanachota fedha pahala wanakuja kuleta maigizo kwa wa na nchiDai ana hela wewe!
Muulize Saddam, Bokassa,Ghadafi,Nicolai Cessescue,Idd Amin,Samuel Doe na jiwe kilichowakuta wakilazimisha kupendwa na wananchiBwashee mtanyooka sana!
Mkuu umeandika point sana,sasa jitathimini kama ccm inakufaa,tazama akili zao zilivyo,they don't walk your way,so you better walk away from them.Wakati kila Siku Wazungu ' wakisheherekea ' kufanya ' Scientific Discoveries ' nyingi zenye ' Tija ' ya Kimaendeleo, Kijamii na Kiuchumi Kwao Tanzania tunafurahia Wabunge kuhama au kuwashawishi wahame. Acheni tu Wazungu watuite ' Minyani ' na waseme hatuna akili. Kama kuna lawama ambayo nitampa Maulana / Mola ni Kuniumba ' Muafrika ' hivi japo namshukuru tu ya kwamba ' akili ' amenizawadia kama za Wazungu na hasa Wayahudi / Waisraeli.
Duuh, hii imekaa pouwaa.Mtaa wa Ufipa sasa kujulikana kama Naseeb St!
Nayeye ahame kama wabunge?Mkuu umeandika point sana,sasa jitathimini kama ccm inakufaa,tazama akili zao zilivyo,they don't walk your way,so you better walk away from them.
Tanzania ya sasa imekuwa ya kushangaza kila Leo sijajua nini kimelikumba taifa? Lazima tukumbuke kuiombea nchi yetu bila kuchoka na tusiache kushauri kilicho chema kwa mustakabali mema wa nchi yetu (watoto wetu na kizazi chao warithi Tanzania iliyo bora).Heeee hadi RC kwenye birthday jamani?
Hahahaaaa.... Mtei hajawahi kuhama CCM!Mtei anasema nini kuhusiana na hili.
Ndio maana idadi ya wapiga kura inaongezeka kila uchaguzi.
Updates:Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama no John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!