Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! A kuna maisha yasikie tu!
Colombia unasema ni ya hovyo kivipi?Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.
Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.
bongo nyoso..
Colombia unasema ni ya hovyo kivipi?
![]()
Nilijua unazungumzia suala la miundo mbinu, kipato n.k kulinganisha na kwetu, kama ni crime ni sawa.Hovyo kwa crimes, rushwa na mauaji na hawana haki za binadamu wale
Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.
Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.
bongo nyoso..
Hii nchi ona hivihivi tu ila humo kila tajiri anajeshi lake isee wanaishi maishavya ovyoo drugs dealers wanafanya wanavyotaka for years now inshort gvt leader pia ni ma God father wa drugs hatarii..Colombia unasema ni ya hovyo kivipi?
![]()
Hayo maghorofa ni fwedhaa za biashara ya poda kwa asilimia kubwa...... Matajiri wa Colombia ni hatari wanaimiliki mpaka serikali yenyewe kwa nguvu ya pesa za ngada.Hii nchi ona hivihivi tu ila humo kila tajiri anajeshi lake isee wanaishi maishavya ovyoo drugs dealers wanafanya wanavyotaka for years now inshort gvt leader pia ni ma God father wa drugs hatarii..
Angepelekwa maweni huko mbona angeipataSasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.
Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.
bongo nyoso..
Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.
Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.
bongo nyoso..
KUNGURUILA lipo wapi hili??nataka nikafanye Research mojaGereza katili kuliko yote hapa Tz ni lile la Kunguruila, ile ni jehanamu ndogo.
Ukienda kula na yale magonjwa yasioambukiwa kama kisukari, presha, ni ngumu sana kutoboa.
Gereza la wp hili!??
Duh, walifanyaje hawa mkuu? Hiyo gereza nasikia ni nzito sana.Kuna wale Wachina wapo Gereza la Ruanda Mbeya wamekula miaka 30 washazoea hali.
Ni channel namba ngapi chief hii?Tazama banged up abroad kule DStv,uone hayo magereza ya Colombia na Latin..huko ndiyo jahannam
Nimecheka sana mkuu, hili gereza nasikia ni gumu sanaKuna jamaa yangu miaka ya 90 aliwekwa mahabusu Ruanda. Anakuambia Mbeya Kuna baridi lakini joto la mle ndani Ni over la Dar. Mkilala lazima mpeane taarifa kwamba Sasa tunageukia ubavu wa pili.