Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.

Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.

bongo nyoso..
Colombia unasema ni ya hovyo kivipi?
bogota-quadr.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee sio mchezo mwenye picha aweke zaidi.. vpi uganda au sudani kusini je Somalia...???
 
Maweni pale miezi 6 tu sijui wangesemaje 😂
Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.

Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.

bongo nyoso..
 
Hii nchi ona hivihivi tu ila humo kila tajiri anajeshi lake isee wanaishi maishavya ovyoo drugs dealers wanafanya wanavyotaka for years now inshort gvt leader pia ni ma God father wa drugs hatarii..
Hayo maghorofa ni fwedhaa za biashara ya poda kwa asilimia kubwa...... Matajiri wa Colombia ni hatari wanaimiliki mpaka serikali yenyewe kwa nguvu ya pesa za ngada.
 
Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.

Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.

bongo nyoso..
Angepelekwa maweni huko mbona angeipata
 
Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.

Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.

bongo nyoso..

Gereza katili kuliko yote hapa Tz ni lile la Kunguruila, ile ni jehanamu ndogo.

Ukienda kula na yale magonjwa yasioambukiwa kama kisukari, presha, ni ngumu sana kutoboa.
 
KUNGURUILA lipo wapi hili??nataka nikafanye Research moja
 
Kuna jamaa yangu miaka ya 90 aliwekwa mahabusu Ruanda. Anakuambia Mbeya Kuna baridi lakini joto la mle ndani Ni over la Dar. Mkilala lazima mpeane taarifa kwamba Sasa tunageukia ubavu wa pili.
Nimecheka sana mkuu, hili gereza nasikia ni gumu sana
 
Back
Top Bottom