Chausiku siyo Chamchana
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 379
- 230
Mdau naomba kufahamu jina la hicho kitabu kilichoandikwa na Carlos kumsuport Osama.Hapana wakati Osama anafanya yake..Carlos amekwisha dakwa yuko ndani.Ila amewahi kuandika kitabu akimsapoti Osama
Duh! Mdau wewe nouma sana.kwa kweli mimi napenda uwepo wa magaidi maana wana stablize peace and love duniani
Mdau kuhusu kufanya matukio na kutafutwa na serikali kwa muda mrefu sio ajabu. Kuna kiumbe alikua akiitwa Dzhokhar Dudayev alikua kiongozi wa Chechnya, huyu alisakwa na serikali ya Moscow kwa muda mrefu sana.Carlos yupo jela toka zama hizo, Osama ametafutwa miaka na marekani. Carlos na ugaidi wake hajawahi kuwa no.1 kwenye list ya most wanted ya marekani. Msimchukulie poa Osama japo kadedishwa
Kwahiyo ulivyo copy stori yote uliona raha.....
shwain
Tehetehee tehetehee! Nimekumbuka miaka ya 80_90 tukiwa Shule tulitumia sana majina ya Jacle na Escobar Pablo, tuliwachukia sana wazungu tukiwaita Mabeberu na makaburu.
Huna hadhi ya kuongea na serikali ya France/Francois Hollande. au unadhani ufaransa ni kama serikali ya mtaani kwenu???Mkuu, you have done my day, Hakuna gaidi atakayekuja kumzidi Carlos.
jamaa alikuwa ni hatari ile mbaya, Nataka nije niwaombe serikali ya France endapo wataniruhusu niende France nikafanye naye mahojiano na kisha nitoe kitabu kuhusu ugaidi wake na maisha yake kabla hajafa
Kabisa kabisa?ANAYEPENDA HIZO STORI ATAFUTE KITABU KINAITWA "IJUE HISTORIA NA MAISHA YA WABABE WA DUNIA" TOLEO LA KWANZA KIMEANDIKWA NA MBONGO ANAITWA ZUBAGY AKILIMIA
miaka ya 90 nilisoma habari zake kupitia vitabu nikamuhusudu sana...by then he was my role model
hou ni uzushi, kuna uzushi mwingi tu umezuliwa juu ya huyo jamaaKuna story mtaani kuwa aliwahi ingia kwa malkia eliza, akala vyombo kisha akatokomea kupitia tundu la choo,, maana alimkuta malkia yuko bafuni anaoga. Hii ilikuwa ni kweli au chai tu?
kwa hiyo na wewe unajifunza UGAIDI.miaka ya 90 nilisoma habari zake kupitia vitabu nikamuhusudu sana...by then he was my role model
kukurupuka huku mwisho wa siku unajidhalilisha jombaa hivi unajua kiengereza wewe..?kumbe mpo wengi humu mapopoma nimesema by then he WAS...kwa hiyo na wewe unajifunza UGAIDI.
unajua vizuri maana ya ROLE MODEL
Hahaaa mkuu Carlos hakuwa akifuga madevu..Avatar yako inadhiirisha jamaa bado ni role model wako
KWA HIYO SASA HIVI SIO. Ina maana huko nyuma ulipokuwa mwanafunzi "HE WAS" kwa sasa ni yupi role model wako?kukurupuka huku mwisho wa siku unajidhalilisha jombaa hivi unajua kiengereza wewe..?kumbe mpo wengi humu mapopoma nimesema by then he WAS...
lowassa ze mviKWA HIYO SASA HIVI SIO. Ina maana huko nyuma ulipokuws mwanafunzi "HE WAS" kwa sasa ni yupi role model wako?