Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Carlos the Jackal" jina lenyew la kishababi haswa!!
 
Katika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao?
Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa makubwa hadi mtu mmojammoja kama vile mimi mwenyewe,
Yuko wapi mke wake baada ya kukamatwa na milipuko,
Mwisho, vip umri na muonekano wake wa sasa ivi ukoje uko gerezani?
 
Samahani naomba kuuliza hivi ni Michael Savimbi au Jonas Savimbi?
 
Chai tupu
 
Mh! Hivi Carlos alikamatwa na milipuko???!!!
 
At first alikuwa Mwanamapinduzi kama Che Guevara but later akawa anatumika na hayo mataifa kufanya Ugaidi na Mauaji so hapo ndio akaitwa Gaidi
Nadhani kwanza tupate maana halisi ya neno Gaidi. Ninachofahamu mimi kwa USA CIA ni shirika la upepelezi lkn kwa RUSSIA CIA ni magaidi, pia ndivyo ilivyo kwa USA huiona KGB kama magaidi lkn KGB kwa RUSSIA ni wapelelezi. Ndivyo ilikuwa kwa Carlos kwa Russia na washirika wake walimuona kama mtu mtiifu lkn kwa USA alionekana kama Gaidi.
 
Kila zama na kitabu chake, zama za Carlos zilikuwa za vita baridi ukiwa against na nchi za magharibi basi utapata sapoti ya Urusi. Lakini Osama alitumia gia ya waislamu ushuzi kutimiza agenda zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…