Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

Walikosea ,wangekuwa na mashaka naye baada ya mechi wangeandika malalamiko CAF. Ila nina mashaka mashindano yanavyoendelea timu zingine zitalalamika ,Viongozi wa timu na maafisa wanatakiwa wawe na msimamo mkali asidhalilishwe.
 
Cameroon tukiwatoa tu tunaenda kombe la dunia kwa hiyo watataka kutumia mbinu za nje ya uwanja angalau wabahatishe. Ikumbukwe tunaongoza 4-1
 
Walikosea ,wangekuwa na mashaka naye baada ya mechi wangeandika malalamiko CAF. Ila nina mashaka mashindano yanavyoendelea timu zingine zitalalamika ,Viongozi wa timu na maafisa wanatakiwa wawe na msimamo mkali asidhalilishwe.
burundi na botswana wote walilalamika huko india world cup pia atalalamikiwa tu
 
Kwa hiyo walifanikiwa kumkagua hapohapo uwanjani?

Walichungulia kilichomo kwenye bukta au ukaguzi wa aina gani?

Hii issue haipo Africa pekee na si kwenye mpira tu,hata Semenya alifanyiwa hikihiki tofauti itakuwa ni aina ya vipimo tu yule walijikita na hormones.
 
hormones sidhani waliangalia tu kam ana papuchi..wakipima hormones huyu watakuta zimezidi ila siku hizi wanariadha waliobadili jinsia wanaruhusia kucompete kama wanawake sembuse huyu wa kuzaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…