Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

Kwa hiyo walifanikiwa kumkagua hapohapo uwanjani?

Walichungulia kilichomo kwenye bukta au ukaguzi wa aina gani?

Hii issue haipo Africa pekee na si kwenye mpira tu,hata Semenya alifanyiwa hikihiki tofauti itakuwa ni aina ya vipimo tu yule walijikita na hormones.
Walimkagua,wakathibitisha nayeye akawapiga tatu
 
Japo sishabikii kilichotokea ila tusiwe wanafiki. Hila swala hata mama alishaongelea.

Sijui inakuwaje waliowengi kutoka africa wamepoteza haiba ya kike.

IMG-20220523-WA0007.jpg
IMG-20220428-WA0013.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huku africa wote sura za baba yaani cha KWANZA hawana nyasa wa victoria na wakivaa hizo jezi yaani vifua hutofautisha na vya akina mayele
 
Mwenye mada, rudia kuiangalia picha #1 kisha utudhibitishie kuwa ni -ke

Unaweza kujikuta kwa pilato!
hv ktk tu hali ya kawaida umewekewa tu picha. Unaweza kuwa na maswali kuhusu jinsia yake. Si tayri jibu unalo. Ishu inapokuja ni unapoambiwa tofauti na ulichofikri awali.
 
Wapumbavu sana wale wacameroon

Kwa taarifa yao sasa wakija huku tutawaingiza juma nyoso na yondani ili wakague nyeti zao vizuri
 
Jana alifunga goli la nne walipocheza na cameroon ,mechi ya under 17 wanawake.

.................................,........................

Mchango wa mdau Insigne

Kitendo alichofanyiwa mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Tanzania U17 (Seregenti Girls) Clara Luvanga na maafisa wa Cameroon cha kumkagua njisia yake sio kitu cha kiugwana bali ni udhalilishaji, Unyanyasaji na Ubaguzi wa hali ya juu.

-Some time mpira wa Afrika una mambo ya ajabu ajabu sana yaani wale maafisa mpaka wanataka kulazimisha kumkagua mtu uwanjani hivi hii ni haki kweli? Nigeria ina wachezaji wengi wenye maumbo ya kiume kwa nini wao hawajakaguliwa jinsia zao.

-Pongezi nyingi ziende kwa maafisa wa Tanzania ambao waliambatana na timu pamoja na bechi la ufundi la Serengeti Girls kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji aliofanyiwa akawafunga magoli matatu pekee yake kwenye ushindi wa magoli 4-1.

View attachment 2235564
Mimi binafsi siwalaumu maafisa wa CAF hata ningekuwa Mimi lazima ningesema akakaguliwe jinsia coz atakaguliwa Na mwanamke mwenzake
 
Na hawa ni wacameroon
 
Attachments

  • 0CB44554-2ECB-4490-A17E-F8DAE010B871.jpeg
    0CB44554-2ECB-4490-A17E-F8DAE010B871.jpeg
    46.4 KB · Views: 26
  • C41C7A58-A187-44FA-8BE8-E73ACCB4F4C0.jpeg
    C41C7A58-A187-44FA-8BE8-E73ACCB4F4C0.jpeg
    35.5 KB · Views: 26
  • A2CD769F-CC42-4046-95AB-6B73FB8C8BB5.jpeg
    A2CD769F-CC42-4046-95AB-6B73FB8C8BB5.jpeg
    33.9 KB · Views: 22
  • 8E08C0AC-9D2C-4CE8-86AF-D8F89C122835.jpeg
    8E08C0AC-9D2C-4CE8-86AF-D8F89C122835.jpeg
    33.6 KB · Views: 21
  • FEFCEA27-EDB2-469C-944B-9F0C7A81EF8D.jpeg
    FEFCEA27-EDB2-469C-944B-9F0C7A81EF8D.jpeg
    59.9 KB · Views: 26
Jana alifunga goli la nne walipocheza na cameroon ,mechi ya under 17 wanawake.

.................................,........................

Mchango wa mdau Insigne

Kitendo alichofanyiwa mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Tanzania U17 (Seregenti Girls) Clara Luvanga na maafisa wa Cameroon cha kumkagua njisia yake sio kitu cha kiugwana bali ni udhalilishaji, Unyanyasaji na Ubaguzi wa hali ya juu.

-Some time mpira wa Afrika una mambo ya ajabu ajabu sana yaani wale maafisa mpaka wanataka kulazimisha kumkagua mtu uwanjani hivi hii ni haki kweli? Nigeria ina wachezaji wengi wenye maumbo ya kiume kwa nini wao hawajakaguliwa jinsia zao.

-Pongezi nyingi ziende kwa maafisa wa Tanzania ambao waliambatana na timu pamoja na bechi la ufundi la Serengeti Girls kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji aliofanyiwa akawafunga magoli matatu pekee yake kwenye ushindi wa magoli 4-1.

View attachment 2235564
Hili ni dume kabisa au atakuwa nazo mbili
 
Back
Top Bottom