Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

Na hawa ni wacameroon
Hawa mbna wanaonekana warembo kabisa , wa kwetu hata kama ni bint Ila first impression huwez kubali..ana muonekano wa kiume kabisa
 
Jana alifunga goli la nne walipocheza na cameroon ,mechi ya under 17 wanawake.

.................................,........................

Mchango wa mdau Insigne

Kitendo alichofanyiwa mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Tanzania U17 (Seregenti Girls) Clara Luvanga na maafisa wa Cameroon cha kumkagua njisia yake sio kitu cha kiugwana bali ni udhalilishaji, Unyanyasaji na Ubaguzi wa hali ya juu.

-Some time mpira wa Afrika una mambo ya ajabu ajabu sana yaani wale maafisa mpaka wanataka kulazimisha kumkagua mtu uwanjani hivi hii ni haki kweli? Nigeria ina wachezaji wengi wenye maumbo ya kiume kwa nini wao hawajakaguliwa jinsia zao.

-Pongezi nyingi ziende kwa maafisa wa Tanzania ambao waliambatana na timu pamoja na bechi la ufundi la Serengeti Girls kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji aliofanyiwa akawafunga magoli matatu pekee yake kwenye ushindi wa magoli 4-1.


View attachment 2235564
Duu huyu hata mie namkagua ili niamini Mana sio kawaida kabisa hii sura. Hata haupati mzuka. Yaani basi hapa nilipo nimecheka Sina mbavu zote
 
Huyu ni mwenzetu.

Wacameroon wamembagua.

Sisi tusipande hilo gari walilopanda hawa.

Haya maandishi mnayoandika fanyeni kama vile mnayasemea moyoni.

Tujue muda gani na kipi cha kukiandika.
 
Kuna afisa mmoja wa Cameroon alisema japokuwa wamemkagua lakini bado haamini inaweza kuwa kaweka kinyago chenye muonekano wa Papuchi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huku africa wote sura za baba yaani cha KWANZA hawana nyasa wa victoria na wakivaa hizo jezi yaani vifua hutofautisha na vya akina mayele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna afisa mmoja wa Cameroon alisema japokuwa wamemkagua lakini bado haamini inaweza kuwa kaweka kinyago chenye muonekano wa Papuchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaaah
 
Back
Top Bottom