Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Walimkagua,wakathibitisha nayeye akawapiga tatuKwa hiyo walifanikiwa kumkagua hapohapo uwanjani?
Walichungulia kilichomo kwenye bukta au ukaguzi wa aina gani?
Hii issue haipo Africa pekee na si kwenye mpira tu,hata Semenya alifanyiwa hikihiki tofauti itakuwa ni aina ya vipimo tu yule walijikita na hormones.
Weka picha yako tuone kama na wewe unayo hayo manyonyoHuyu ni mwanamke? Mbona hata manyonyo hana?
hv ktk tu hali ya kawaida umewekewa tu picha. Unaweza kuwa na maswali kuhusu jinsia yake. Si tayri jibu unalo. Ishu inapokuja ni unapoambiwa tofauti na ulichofikri awali.Mwenye mada, rudia kuiangalia picha #1 kisha utudhibitishie kuwa ni -ke
Unaweza kujikuta kwa pilato!
Ni ujinga huo,wanawake wangapi wana matiti madogo.Huyu ni mwanamke? Mbona hata manyonyo hana?
Vip huyu ana matiti makubwa? after mtoto mdogo mnataka awe na nyonyo kubwa ili iwenye Mungu kamuumba hivyo sisi ni nani tuhoji uumbaji?Japo sishabikii kilichotokea ila tusiwe wanafiki. Hila swala hata mama alishaongelea.
Sijui inakuwaje waliowengi kutoka africa wamepoteza haiba ya kike.
View attachment 2236046View attachment 2236050
Mtoto mbichi huyu hata matiti hayajaota atakuwa miaka 14
Mimi binafsi siwalaumu maafisa wa CAF hata ningekuwa Mimi lazima ningesema akakaguliwe jinsia coz atakaguliwa Na mwanamke mwenzakeJana alifunga goli la nne walipocheza na cameroon ,mechi ya under 17 wanawake.
.................................,........................
Mchango wa mdau Insigne
Kitendo alichofanyiwa mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Tanzania U17 (Seregenti Girls) Clara Luvanga na maafisa wa Cameroon cha kumkagua njisia yake sio kitu cha kiugwana bali ni udhalilishaji, Unyanyasaji na Ubaguzi wa hali ya juu.
-Some time mpira wa Afrika una mambo ya ajabu ajabu sana yaani wale maafisa mpaka wanataka kulazimisha kumkagua mtu uwanjani hivi hii ni haki kweli? Nigeria ina wachezaji wengi wenye maumbo ya kiume kwa nini wao hawajakaguliwa jinsia zao.
-Pongezi nyingi ziende kwa maafisa wa Tanzania ambao waliambatana na timu pamoja na bechi la ufundi la Serengeti Girls kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji aliofanyiwa akawafunga magoli matatu pekee yake kwenye ushindi wa magoli 4-1.
View attachment 2235564
Ntamtafuta nimpelekee Moto nione analiajeHee aiseee mbona ana muonekano wa kiume kabisa
Hili ni dume kabisa au atakuwa nazo mbiliJana alifunga goli la nne walipocheza na cameroon ,mechi ya under 17 wanawake.
.................................,........................
Mchango wa mdau Insigne
Kitendo alichofanyiwa mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Tanzania U17 (Seregenti Girls) Clara Luvanga na maafisa wa Cameroon cha kumkagua njisia yake sio kitu cha kiugwana bali ni udhalilishaji, Unyanyasaji na Ubaguzi wa hali ya juu.
-Some time mpira wa Afrika una mambo ya ajabu ajabu sana yaani wale maafisa mpaka wanataka kulazimisha kumkagua mtu uwanjani hivi hii ni haki kweli? Nigeria ina wachezaji wengi wenye maumbo ya kiume kwa nini wao hawajakaguliwa jinsia zao.
-Pongezi nyingi ziende kwa maafisa wa Tanzania ambao waliambatana na timu pamoja na bechi la ufundi la Serengeti Girls kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji aliofanyiwa akawafunga magoli matatu pekee yake kwenye ushindi wa magoli 4-1.
View attachment 2235564
kuna barbra banda. Huyu wetu mbn cute