Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Kiongozi ukisikia ushujaa ni kujitoa,
Jitoe wewe ukamkamate na umuwasilishe sehem husika na utoe maelezo juu yakutafutwa kwake.

Jipange kiongoz uwe shujaa itakuwa ni jambo la kherii.
 
Kwa akili mtu anayetafutwa na taifa kubwa Kama India anaweza kufanya ziara Tanzania na ziara yake ikatangazwa hadharani?

Mambo mengine tutumie akili. Hiv Dr. Zakir Naik ni gaidi au tunajisemea Tu?
 
Acha uongo maamuma wewe huyo ni gaidi na hamna anaempenda nashauri serikali isiruhusu huyu jamaa kufundisha ugaidi tanzania
 
Huyu ni Gaidi hakuna kupepesa macho

Huyu ni Gaidi apingwe na kila mpenda amani
Utaiba tu ugaidi kwasababu za chuki zako, ila huna ushahidi wowote mmekalilishwa nyoyo zenu zimejaa chuki dhidi ya waislamu na uislamu ila hamna la kufanya zaidi ya kuumia na kuumia siku zote.
 
Sisi tunataka kumpa kiwanja
 
Huyu ni GAIDI ,Anatakiwa akamatwe apakiwe kwenye ndege akakabidhiwe kwa Serikali ya India

ila kwakuwa nchi hii Ina udini ataachwa abwabwaje na kueneza UGAIDI nchini,

Matokeo ya mbegu za UGAIDI anazopanda zitaonekana baadae
Ww jamaa una mavi kichwani huyu jamaa mpaka ana fika hapa nchi kapita Uganda na Kenya na pote kafanya muhadhara vipi na huko kuna viongozi wenye udini?
Hizo chuki zenu zina wafanya muonekane wapumbavu.
 
Kwa akili mtu anayetafutwa na taifa kubwa Kama India anaweza kufanya ziara Tanzania na ziara yake ikatangazwa hadharani?

Mambo mengine tutumie akili. Hiv Dr. Zakir Naik ni gaidi au tunajisemea Tu?
Hata Osama alikua anatetewa na ndugu katika Imani hivyo hatushangai
 
kuja ku
Ulionywa kuhusu hao preachers, na preacher gani umjuaye wewe amekuja hapa nchini kuhutubia chuki dhidi ya Uislam au madhehebu mengine?
Kwa hiyo ana kuja kuchochea chuki?
 
Acha uongo maamuma wewe huyo ni gaidi na hamna anaempenda nashauri serikali isiruhusu huyu jamaa kufundisha ugaidi tanzania
Empty pumpkin, siwezi kubishana na mtu mwenye chuki bila kutumia logic na reasoning ........leta ushahidi wa kuonyesha kwamba ni gaidi huna kabisa mbwa wewe.
 
Gaidi linaalikwa na kupewa heshima ya ugenj rasmi!!!??? Tutajitambua lini nchi hii?
 
Empty pumpkin, siwezi kubishana na mtu mwenye chuki bila kutumia logic na reasoning ........leta ushahidi wa kuonyesha kwamba ni gaidi huna kabisa mbwa wewe.
Hilo ni gaidi maamuma wewe na likija tunalikamata tunalikabizi serikali ya India wadili nalo maana wanalisaka mda mrefu sana kwakua linafundisha ugaidi
 
Huyu Naik nimemfuatilia midahalo kadhaa..jamaa akishaona umembana kwa swali gumu atahakikisha haupati muda wa kuendelea kuongea lazima akuinterupt sana akutoe kwenye point.Pili jamaa ni short temper ..ukimpiga maswali yanayoonesha kumshinda anawahi kupanick.Huyu jamaa akikutana na Ndacha anaweza kutaga.Christian Prince (CP) alimtoa jasho mpaka leo hataki kumuona.
 
Huyu ni mgeni wetu, kwetu hana madhara
 
Usiogope chalii...Ugaidi ni propaganda za kimarekani kuudhoofisha uislamu,hilo lengo lenu halitatimia maana tupo upande ambao tunaamini kuwa..mkitushinda tumeshinda,na tukishinda dhidi yenu tumeshinda pia!
 
Achana na ndacha Kuna huyu jamaa anaitwa Yohana omary (Utadhani yahya) ni balaa ingine mazinge ana muogopa kama ukoma
 
Ww jamaa una mavi kichwani huyu jamaa mpaka ana fika hapa nchi kapita Uganda na Kenya na pote kafanya muhadhara vipi na huko kuna viongozi wenye udini?
Hizo chuki zenu zina wafanya muonekane wapumbavu.
Ni GAIDI Kila mpenda amani ampinge kwa nguvu zote

Hatutaki nchi yetu kuingizwa na vimelea na viashiria vya UGAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…