kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Nchi inavituko hii hata MBOWE AMEAMBIWA NI GAIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna lolote mnaweza fanya. Kaeni kwa kutulia.Huyu mtu anatafutwa na serikali ya India na imetaarifiwa anaingia nchini kufundisha ugaidi naomba serikali yetu tukufu ilifanyie kazi hili swala sababu sisi raia wema tunapenda amani
Haibadilishi kuwa ni GAIDINdo amesha kuja sasa na kesho ana anza muhadhara wake huko Zanzibar.
Kama hutaki jitie gunzi matakoni alafu ulilambe ili tujue kweli umekasirika.
Mnatetea gaidi😂😂 vile unawazoom watu wenye mihemko Yao mjini hapa.
Mpka anaingia nchini ujue Serikali imetoa kibali Cha yeye kuwepo na wanatambua ujio wake nchini, kwahiyo Kaa kwa kutulia.
Mnatetea gaidiHamna lolote mnaweza fanya. Kaeni kwa kutulia.
Akikujibu nitag.Ulionywa kuhusu hao preachers, na preacher gani umjuaye wewe amekuja hapa nchini kuhutubia chuki dhidi ya Uislam au madhehebu mengine?
Huyo ni gaidiACHENI CHUKI ZA KIDINI..., HAMNA LOLOTE ZAIDI YA UDINI NDIO UNAOWASUMBUA.
Wapo kibao wamefanya maovu kibao, Naik namfahamu hana hata time na siasa ila kuna preachers wa kutosha ambao speech zao zimesababisha mauaji ya kutosha hapo Nigeria tu wapo wengi mno, Usa pia wapo, kwani hujui Gaidi ni propaganda thidi ya waisilamu? Pastor anaweza akaua Mamia ya watu na asiitwe chochote.preacher gani wa kikristo uliyesikia ni gaidi na anatafutwa na nchi yake akajibu mashitaka?
Wameshika zaidi ya visu, kisu ni mfano wa silaha ndogo, ila hao wamelipua na kuua watu in millions wasio na hatia, kama ni damu wameimwaga nyingi kutiririsha mito.Baba mwajuma kumbe Obama na bushi walishika visu? Embu ni dadavulie ilikuwa wapi na wapi.
Ndo anakuja kuwalipua sasa😂 andaa roho Yako.Mnatetea gaidi
Sasa hapa ugaidi unatetewaje, acheni kuamni hizo propaganda mnazopewa..acha kutetea gaidi, kuna protoko za kumkamata, we unadhani unakurupuka tu kwenda kumkamata?
Hii ni shida ya kuvutia bangi chooniHuyu Naik nimemfuatilia midahalo kadhaa..jamaa akishaona umembana kwa swali gumu atahakikisha haupati muda wa kuendelea kuongea lazima akuinterupt sana akutoe kwenye point.Pili jamaa ni short temper ..ukimpiga maswali yanayoonesha kumshinda anawahi kupanick.Huyu jamaa akikutana na Ndacha anaweza kutaga.Christian Prince (CP) alimtoa jasho mpaka leo hataki kumuona.