Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

ACHENI CHUKI ZA KIDINI..., HAMNA LOLOTE ZAIDI YA UDINI NDIO UNAOWASUMBUA.
 
Ndo amesha kuja sasa na kesho ana anza muhadhara wake huko Zanzibar.
Kama hutaki jitie gunzi matakoni alafu ulilambe ili tujue kweli umekasirika.
Haibadilishi kuwa ni GAIDI
 
😂😂 vile unawazoom watu wenye mihemko Yao mjini hapa.
Mpka anaingia nchini ujue Serikali imetoa kibali Cha yeye kuwepo na wanatambua ujio wake nchini, kwahiyo Kaa kwa kutulia.
 
preacher gani wa kikristo uliyesikia ni gaidi na anatafutwa na nchi yake akajibu mashitaka?
Wapo kibao wamefanya maovu kibao, Naik namfahamu hana hata time na siasa ila kuna preachers wa kutosha ambao speech zao zimesababisha mauaji ya kutosha hapo Nigeria tu wapo wengi mno, Usa pia wapo, kwani hujui Gaidi ni propaganda thidi ya waisilamu? Pastor anaweza akaua Mamia ya watu na asiitwe chochote.

Video ya Hate speech Nigeria


Anti Islam pastor Usa


Hio mifano Michache nimekupa
 
Baba mwajuma kumbe Obama na bushi walishika visu? Embu ni dadavulie ilikuwa wapi na wapi.
Wameshika zaidi ya visu, kisu ni mfano wa silaha ndogo, ila hao wamelipua na kuua watu in millions wasio na hatia, kama ni damu wameimwaga nyingi kutiririsha mito.
 
Waacheni wanazuoni watoe Elimu .

Mimi huwa navutiwa na kuwasikiliza wanazuoni wa dini zote duniani .

Kuanzia Islamic, christian , hindu n.k


Acheni watu wafanye Kazi zao walizozichagua.
 
Anatafutwa vipi mtu anasafiri peacefully from country to country.
Muhimu tu wacheki credentials zake kama amesoma dini from a recognized institution.
 
acha kutetea gaidi, kuna protoko za kumkamata, we unadhani unakurupuka tu kwenda kumkamata?
Sasa hapa ugaidi unatetewaje, acheni kuamni hizo propaganda mnazopewa..

We unafikiri hayo yote mnayoyasema yangekuwa kweli angekuwa anapita humo mote anamopita?

Mnapewa maneno nanyi mnayala bila kuangalia.

Ana pastoti huyo anazotumia kusafiria kwenda nchi mbalimbali, unafikiri hayo yanayosemwa yangekuwa ya kweli nani angempa pastoti huyo..?

Zakuambiwa changanya na zako acheni umbumbumbu
 
Huyu Naik nimemfuatilia midahalo kadhaa..jamaa akishaona umembana kwa swali gumu atahakikisha haupati muda wa kuendelea kuongea lazima akuinterupt sana akutoe kwenye point.Pili jamaa ni short temper ..ukimpiga maswali yanayoonesha kumshinda anawahi kupanick.Huyu jamaa akikutana na Ndacha anaweza kutaga.Christian Prince (CP) alimtoa jasho mpaka leo hataki kumuona.
Hii ni shida ya kuvutia bangi chooni
 
Back
Top Bottom