kolomije00
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 208
- 147
Hiyo picha hapo jama kapiga goti mbele kuna mzungu anamuomba kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashika Sabato wewe ni muebrania...?hapo ndipo penye Subira ya watakatifu hao wazishikao AMRI ZA MUNGU na KUWA NA USHUHUDA WA YESU
uf 12:17
SASA SIJUI NI MBINGU IPI HIYO MNAYOISUBIRI ISIYOTII AMRI ZA MUNGU
Na moja wapo ya Amri za Mungu ni SABATO
Unashika sabato wewe ni Muebrania...?Sasa kwann uidanganye nafsi yako Kwa kivuli cha kupuuza ?? Iyo niakili au ?? Umeshajua sabato yakweli yaMungu in jmos alafu bado unahangaika na jpl ndo nn sasa ?? Nais hapo utakua unaishi Kwa kumtegemea MTU.
Pole sana, kama wewe ni msomaji biblia na ukawa unaamini sabato ni jumapili basi ulikuwa na tatizo. Sabato ipo wazi katika biblia ni jumamosi, ila pamoja na hilo haimaanishi kwamba kusali jumapili sala zako hazisikiki.
Wakatoliki wa ukweli wanajua sabato ni jumamosi, na wanaendelea kuabudu katika siku ya jumapili.
Wasabato siyo wakristoSabato lengwa kibiblia si jumamosi wala jumapili wala jumatisa bali pumziko/amani anayopata mtu baada ya kuamua kumbebesha mizigo yake Bwana wa Sabato. Sabato ni pumziko. Sasa ukristo ni maisha ya kiroho kwa hiyo tukiongelea pumziko basi ni la kiroho. Kupumzika jumamosi au jumapili ni kupumzisha mwili kwani unachoka kwa shughuli za siku sita na kuhitaji kuhuishwa kama tulivyoagizwa hata kupumzisha mashamba kila miaka saba.
Halafu tumeonywa tusibishanie dini. Sijui nimefikaje hapa? Sirudi.
Ukifel kidato channe Mara nyingi jamii inakuuliza ,, yaan umekoswa hata ya kwenda ualimu ? Hapa ndipo shida ilipo.
Naona hamjui hata mnachokiongea mana mnazd kutuchanganya tu,uzi huu unasema kahaba wa ufunuo ni kanisa katoliki na mmeleta na baadhi ya mifano yenu kama ushahidi wa rangi za mavazi na kuwaua watakatifu na hapa unasema papa ndo mnyama na hapo hapo mnatuambia kwny huyo mnyama kutaibuka pembe ndogo katika pembe kumi ambayo itaangusha pembe nyingine tatu nayo pia mwasema ni upapa huo. Haya labda tuanze na mistari hiiHoja dhaifu kwa mtu anayejiita padri. Wenzio wanakiri wazi kuwa papa ndiye mnyama ila wako huko kwa maslahi tu.
Haya nikirudi kwenye hoja yako ni lazima huyo mnyama Ellen G. White kama ulivyomwita kuwa ndiye namba 666 inamsema, sharti atimize maelezo yaliyoko Daniel 7:21-21 na ufunuo 13 15-18.
1. Huyo mnyama atatesa watakaktifu kwa miaka 1260. Ellen G white hata hakufika miaka 90 ya uhai wake. Hoja yako ni mfu.
2. Mnyama anayetajwa katika ufunuo 13:15-18. Atalazimisha watu wote ulimwenguni kuisujudia sanamu yake. Ellen G. White alishakufa siku nyingi hana mammlaka ya kushinikiza watu wote wamwabudu. Lakini roman catholic na papa wana mamlaka hayo kwa kuwa kila taifa linamtii papa.
3. Alama ya 666 inahusu mnyama au mamlaka kama biblia inavyosema katika Daniel 7. Wanyama ni wafalme juu ya uso wa dunia. Ellen G. White hakuwahi kuwa mtawala juu ya uso wa dunia, bali ipapa ni mamlaka iliyotoka katika ufalme wa nne juu ya uso wa dunia, yaani rumi.
5. Upapa ni taasisi hivyo kumhusisha mtu mmoja na taasisi ni kukosa hoja. Hata Nero mnayedai ndiye mnyama sio taasisi.
Mpaka hapo umeshajua kuwa njia ya mwongo ni fupi. Nakishuri acheni kudanganya watu mtakija kudaiwa hizo roho mnazozipotosha. Mungu hadhihakiwi.
Kifungu gan ktk maandiko kimesema sabato ni ya waebrania ??Unashika sabato wewe ni Muebrania...?
Heri nguo kulaluka ,,kuliko kulaluka Akili ,, maana utajiri wa mjinga ni ujinga wake mwenyewe !!.
Sabato ilikuwa kwa ajili ya waebrania...Na iliwekwa mahususi kwa ajili ya kukumbuka siku walipotolewa utumwani Misri...Kifungu gan ktk maandiko kimesema sabato ni ya waebrania ??
Heri nguo kulaluka ,,kuliko kulaluka Akili ,, maana utajiri wa mjinga ni ujinga wake mwenyewe !!.
Well ,, nimeshapasoma na nmesoma tena upya ,, Hakuna mahali Mungu amesema Sabato ni ya waebrania !!.Sabato ilikuwa kwa ajili ya waebrania...Na iliwekwa mahususi kwa ajili ya kukumbuka siku walipotolewa utumwani Misri...
Sasa wewe Kenge mfuasi wa Nabii Mke, mama watoto wa Bw James white, niambie ni lini ulitolewa utumwani Misri....?
Rejea kutoka 20:1-8
Sasa kaeni mkubaliane. Wenzio wanasema sabato ni siku yeyote uliyoochagua. Kubalianeni kwanza huko kisha mrudi hapa.Pole sana, kama wewe ni msomaji biblia na ukawa unaamini sabato ni jumapili basi ulikuwa na tatizo. Sabato ipo wazi katika biblia ni jumamosi, ila pamoja na hilo haimaanishi kwamba kusali jumapili sala zako hazisikiki.
Wakatoliki wa ukweli wanajua sabato ni jumamosi, na wanaendelea kuabudu katika siku ya jumapili.
Heri nguo kulaluka ,,kuliko kulaluka Akili ,, maana utajiri wa mjinga ni ujinga wake mwenyewe !!.
Maneno ya mkosajiKahaba Ellen g White alitimuliwa kanisa lake la Baptist huko Marekani...
Kama huyu padri ndiye mnamtegemea kwa hoja nawapa pole. Mapadri ninaowajua maparoko na mabruda nimefanya nao mazungumzo ya neno la Mungu tena nikiwa na wachungaji wa kilutheri. Wote walikiri kuwa wasemacho wasabato ni ukweli mtupu. Papa ndiye mnyama wa ufunuo 13. Ila sasa wafanyeje ilihali kula yao inaegemea kazi yao hiyo? Niliwatia moyo kuwa siku moja Mungu atawapa kazi nyingine bora zaidi ila wawe tayari kutoka babeli. Kuna mchungaji mmoja wa moravian ni rafiki yangu huwa nampa vitabu vya kanisa letu na anavitumia kufundishia.Hata mimi ningefurahi mkuu Otorong'ong'o,kwani hiyo post ya Pd Amigu imeshiba kwelikweli.
Juu ya hili usibishe. Wakristu wengine tofauti na wasabato tunaabudu jumapili na sababu kuu maadhimisho ya pasaka ni jumapili hivyo jmapili ni siku ya ushindi kwetu wakristo na ikatengwa hivyo.
Pasaka inaadhimishwa jumapili, na imekuwa stated kabisa katika biblia kuwa siku ya kwanza ya juma yesu alifufuka. From logic tuu utagundua kuwa jumamosi ni siku ya mwisho ya juma.
Ilaa, nimemuuliza swali kuwa, mimi ninayesali jumapili sala zangu hazisikilizwi.? Au je sala zake yeye anayesali jmosi zinasikilizwa sana zaidi ya zangu.?
Maana sioni kama ni big issue kusali jumapili kwa maana imeandikwa mungu yupo mahali popote, na wakati wote, ni wewe tuu kuomba na kusubiria majibu.