Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

demu mkali yule binamu, kiboko ya mwafulani maana mtoto kabarikiwa umalaya,uzuri hadi utajiri,nasikia ana stashahada ya cosmetology inabid na mimi nikasomee shahada ya gossipology aiseeh..n

binamu hv kutwa kucha kumsema zari malaya pyeeee muache apumue bana
 
kuna katetesi ka sembe behind huo utajiri,ye ivan mapesa katoa wapi au mtaji ulitoka kwenye sembe ha ha ha chezea watu tusopenda maendeleo ya watu lol...joke nauliza tu lakini
 
ngoja tusubiri tunaezapewa mbinu za kuwa matajiri ha ha ha

Umri huu hakuna self made Millionare kwa Waafrika unless mtu atueleze huyu dogo amerithi utajili mkubwa kutoka kwa wazazi.

BTW nimekaa na waganda nchi fulani ng'ambo hawa mambo ya sembe siyo michezo yao ila ni hatari sana hawa watu kwa wizi wa kimtandao kwenye mabenki wana masoftware ya ajabu na wana vichwa vyao vya IT ni hatari tupu.
 

Nami pia na wasiwasi huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…