Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

demu mkali yule binamu, kiboko ya mwafulani maana mtoto kabarikiwa umalaya,uzuri hadi utajiri,nasikia ana stashahada ya cosmetology inabid na mimi nikasomee shahada ya gossipology aiseeh..n

binamu hv kutwa kucha kumsema zari malaya pyeeee muache apumue bana
 
mwenzangu nasikia mume wake ivan ndo source ya utajir wake, mwanzo alikuwa chakubimbi tu kama akina aunty ezekiel,sema jamaa ndo kamtoa na ivi kazaa nae watoto watatu bhas utajir wote umemwangukia zari, yule mwanamke ni shidaaa ana pesa hatariiii yan ni noumaaa
kuna katetesi ka sembe behind huo utajiri,ye ivan mapesa katoa wapi au mtaji ulitoka kwenye sembe ha ha ha chezea watu tusopenda maendeleo ya watu lol...joke nauliza tu lakini
 
ngoja tusubiri tunaezapewa mbinu za kuwa matajiri ha ha ha

Umri huu hakuna self made Millionare kwa Waafrika unless mtu atueleze huyu dogo amerithi utajili mkubwa kutoka kwa wazazi.

BTW nimekaa na waganda nchi fulani ng'ambo hawa mambo ya sembe siyo michezo yao ila ni hatari sana hawa watu kwa wizi wa kimtandao kwenye mabenki wana masoftware ya ajabu na wana vichwa vyao vya IT ni hatari tupu.
 
wanapendezana ila sina hakika kama career ya platnumz haitakuwa affected na huu uhusiano in a negative way.
Haya mambo ya kuandamana kila sehemu sijui kama yanampa muda kufanya mazoezi na kutunga mashairi mazuri.
Kuna watu ukijihusisha nao ama utafirisika ama utarudi nyuma ni sawa na dallaz alivyojiingiza kwa jackline wolper akajkuta ana over kutumia.
Any way ela wanaitafta wao haina haja ya kuwapangia jinsi ya kuitumia.

Nami pia na wasiwasi huo!
 
Back
Top Bottom