Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Jf wasaalam 🙏
Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa.
Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden, amezaliwa huko na kukulia huko.
Alipata nafasi ya kutembela Tanzania kama mtalii. Alipenda sana Tamaduni za Africa Kwa hapa Tanzania.
Mbali na hapo aliitembelea BUJORA Mwanza Kwa ajiri ya kutazama makumbusho ya wasukuma.
Alishangaa kuona wasukuma Tamaduni zao ni nzuri zaidi na kuvutiwa kujifunza lugha ya kisukuma.
Safari yake ya mziki ilianza pale alipomaliza kujifunza lugha ya kisukuma na kurudi nchini kwao.
Alianza uhamasishaji katika ktk Nchi Yao Kwa kutangaza Tamaduni za kisukuma.
Manongu alijikuta amebobea katika uimbaji.
Na nyimbo yake ya kwanza Ni "Ungwana ndololo uyo" (mtoto mdogo huyu) Link yake👇👇
View: https://youtu.be/Wxp0cDhPtlo
Wimbo huu ulimpa umaarufu Hadi kupewa mwaliko na waziri wa Sanaa na michezo hapa Tz.
Baada ya hapo Manongu akaachia nyimbo nyingine iitwayo "kangilijaga makanuka"(Harakisha makanuka)
Link yake hii hapa👇👇
View: https://youtu.be/OQfcgumCv_k
Wimbo huu ulizidi kumpa umaarufu mara dufu kupitia Hadi ya kisukuma na watu wengi walianza kumfuatilia zaidi nchini na Nje ya Nchi.
Baada yapo aliachi nyimbo nyingine Tena iitwayo "Ngwana wi samva"(Mtoto wa mizimu)
Link yake hii hapa👇👇
View: https://youtu.be/xZ5mKLZ3wWk
Nchini Sweden alianzisha kundi liitwalo sukama Dance liinalojihusisha na nyimbo za kisukuma dance,Mila,Desturi na Tamaduni za kisukuma.
Pia Manongu aliamua kuoa mwanamke wa kisukuma na kubahatika kupata mtoto mmoja.
Fuatilia zaidi YouTube channel yake https://youtube.
com/c/MANONGUSukumadancein Sweden