To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
HakikaHUYU ILITAKIWA AMUIMBIE YESU KRISTO MAANA SIO WOTE TUNAJUA KISUKUMA YESU AMETUFUNDISHA TUSIWE NA UKABILA AU DINI TUSIBAGUANE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaHUYU ILITAKIWA AMUIMBIE YESU KRISTO MAANA SIO WOTE TUNAJUA KISUKUMA YESU AMETUFUNDISHA TUSIWE NA UKABILA AU DINI TUSIBAGUANE
Sawa mkuu. Lakini pia, Yesu sinl alikuwa myahudi na alienda kwenye masinagogi kufundisha?POA NIMEKUPATA BOSS🙏
KWANI UNADHANI MDA WOTE ALIKUWA ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI PEKEE ILI AHUBILIE WATU KAMA ILIVYO KUWA KWA MAFARISAYO WAKIFUATA SHERIA YA MUSA?Mara ya mwisho niliposoma biblia niliona Yesu alienda kwenye sinagogi na kusoma kitabu cha torati/Isaya.
Wakati wa Yesu hakukuwa na misikiti. Uislamu ulianza miaka zaidi ya 600 baadaye.KWANI UNADHANI MDA WOTE ALIKUWA ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI PEKEE ILI AHUBILIE WATU
YESU ALIKUWA FREE HATA AKIFIKA MSIKITINI ATASOMA VYA MSIKITINI MAANA ALISEMA YA KAISARI MPENI KAISARI YA MUNGU MPENI MUNGU
Tunajua usukumani mna wasanii wenu wakina Best Naso , Brother K ndio wanabamba sana huko.Tembea uone sio unakaa kaa tu hapo Buguruni huku usukumani mpaka vibibi vinamjua Diamond na Wema Sepetu mpaka kijibwa cha Wema Sepetu vibibi vinakisimulia huku usukumani kwa hio usiseme kwamba Diamond akija show hawana time nae Ogopa mpaka fuko la Shangazi kaja lina picha ya Diamond wasukuma wananunua, hizo simulizi zenu za uongo ziishie hapo hapo Buguruni Rozana
Nyakati hizo hakukuwa na misikiti ninavyokumbuka.Mimi leo ukiniuliza Yesu alifuata dini ipi?Nitajibu ya Kiyahudi.Nitakuwa nimekosea?KWANI UNADHANI MDA WOTE ALIKUWA ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI PEKEE ILI AHUBILIE WATU
YESU ALIKUWA FREE HATA AKIFIKA MSIKITINI ATASOMA VYA MSIKITINI MAANA ALISEMA YA KAISARI MPENI KAISARI YA MUNGU MPENI MUNGU
HUO NAKUPA MFANO TU NIKIWA NA LENGO LA KUKUJUZA KWAMBA YESU HANA DINI YEYE NI WAWATU WOTE DINI NI TRAP TU KWA WASIO FAHAMUWakati wa Yesu hakukuwa na misikiti. Uislamu ulianza miaka zaidi ya 600 baadaye.
Mara ya mwisho nilipoangalia takwimu za dini/imani walioitwa wapagani walikuwa wengi zaidi ya waislamu na wakristo.
UTAKUWA UMEKOSEA MAANA YESU HANA DINI NA WALIO KUWA ADUI ZAKE NDIO HAO WASHIKA DINI MAFARISAYO WA KIYAHUDI WAKAMSULUBISHA.Nyakati hizo hakukuwa na misikiti ninavyokumbuka.Mimi leo ukiniuliza Yesu alifuata dini ipi?Nitajibu ya Kiyahudi.Nitakuwa nimekosea?
Ndio story zenu hapo Buguruni Sokoni mnaongopeana hivyo, huku Ngoma za asili zinapigwa Ila Bongo Flava Marioo Diamond na wengine wanasikilizwa pia nyumba haina umeme haina solar Ila tunaangalia Video kwenye flatscreen na nyumba ni ya Udongo, karibu uone maajabuTunajua usukumani mna wasanii wenu wakina Best Naso , Brother K ndio wanabamba sana huko.
Tanzania kama nchi.Kuna mambo mawili,
1. Nilisema 'mtu akisema 'dini' 90% ya watanzania watafikiria uislamu na ukristo. Sikumaanisha 90% ya watanzania ni waislamu na wakristu.
2. Naomba unifahamishe, hizo takwimu za 'wapagani' kuwa wengi zaidi ya wafia dini za kikoloni ni za hapa Tanzania au kidunia?
Niliona alikuwa anafuata Uyahudi ila akawa mkosoaji wao mkubwa.UTAKUWA UMEKOSEA MAANA YESU HANA DINI NA WALIO KUWA ADUI ZAKE NDIO HAO WASHIKA DINI MAFARISAYO WA KIYAHUDI WAKAMSULUBISHA.
KWA KUWA ALIKUWA HAFUATI DINI YAO
Wewe unafuata dini yoyote?HUO NAKUPA MFANO TU NIKIWA NA LENGO LA KUKUJUZA KWAMBA YESU HANA DINI YEYE NI WAWATU WOTE DINI NI TRAP TU KWA WASIO FAHAMU
MIMI SIFUATI DINI NAMFUATA YESU NIKIFUATA DINI NAJUA NA MIMI SITAWEZA KAMA YESU NITAGEUKA MKOSOAJI NA WATANITIMUA KWENYE DINI YAO KAMA YESUWewe unafuata dini yoyote?
Niliona alikuwa anafuata Uyahudi ila akawa mkosoaji wao mkubwa.
Simulia kidogo..MIMI SIFUATI DINI NAMFUATA YESU NIKIFUATA DINI NAJUA NA MIMI SITAWEZA KAMA YESU NITAGEUKA MKOSOAJI NA WATANITIMUA KWENYE DINI YAO KAMA YESU
NASIKIA KUITWA NA SAUTI YAKE MAANA WOTE WALIO NA YESU AMBAO HAO NDIO WATOTO WAKE HUISIKIA SAUTI YAKE.Simulia kidogo..
Unamfuataje?
Yaani unatenda, unawaza au unsema nini ili kumfuata?
Jf wasaalam 🙏
Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa.
Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden, amezaliwa huko na kukulia huko.
Alipata nafasi ya kutembela Tanzania kama mtalii. Alipenda sana Tamaduni za Africa Kwa hapa Tanzania.
Mbali na hapo aliitembelea BUJORA Mwanza Kwa ajiri ya kutazama makumbusho ya wasukuma.
Alishangaa kuona wasukuma Tamaduni zao ni nzuri zaidi na kuvutiwa kujifunza lugha ya kisukuma.
Safari yake ya mziki ilianza pale alipomaliza kujifunza lugha ya kisukuma na kurudi nchini kwao.
Alianza uhamasishaji katika ktk Nchi Yao Kwa kutangaza Tamaduni za kisukuma.
Manongu alijikuta amebobea katika uimbaji.
Na nyimbo yake ya kwanza Ni "Ungwana ndololo uyo" (mtoto mdogo huyu) Link yake👇👇
View: https://youtu.be/Wxp0cDhPtlo
Wimbo huu ulimpa umaarufu Hadi kupewa mwaliko na waziri wa Sanaa na michezo hapa Tz.
Baada ya hapo Manongu akaachia nyimbo nyingine iitwayo "kangilijaga makanuka"(Harakisha makanuka)
Link yake hii hapa👇👇
View: https://youtu.be/OQfcgumCv_k
Wimbo huu ulizidi kumpa umaarufu mara dufu kupitia Hadi ya kisukuma na watu wengi walianza kumfuatilia zaidi nchini na Nje ya Nchi.
Baada yapo aliachi nyimbo nyingine Tena iitwayo "Ngwana wi samva"(Mtoto wa mizimu)
Link yake hii hapa👇👇
View: https://youtu.be/xZ5mKLZ3wWk
Nchini Sweden alianzisha kundi liitwalo sukama Dance liinalojihusisha na nyimbo za kisukuma dance,Mila,Desturi na Tamaduni za kisukuma.
Pia Manongu aliamua kuoa mwanamke wa kisukuma na kubahatika kupata mtoto mmoja.
Fuatilia zaidi YouTube channel yake https://youtube.
com/c/MANONGUSukumadancein Sweden
Akiri kumkichwaMjanjamjanja huyo.Anapiga mahela huku wasugunsu wenyewe mmemtolea macho tu na kusema ndoho gogolo!