Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #61
Hongera sana mkuu hiyo pia naijua maana Huwa ana share kwenye account Yake ya YouTubeWana kituo chao kingine cha sanaa pia huko Copenhagen na walishawapeleka wasukuma wako huko. Niliwahi kufika na kukaa huko kipindi fulani lakini kwa bahati mbaya nikasahau kwenda kuwatembelea