MFAHAMU:-Manongu Mzungu anaeimba nyimbo za kisukuma

POA NIMEKUPATA BOSS๐Ÿ™
Sawa mkuu. Lakini pia, Yesu sinl alikuwa myahudi na alienda kwenye masinagogi kufundisha?

Kuna mahala pia alienda sinagogi akakuta watu wanafanya biashara, akamind mpaka akafanya vurugu?

Kwanini unadhani hakuwa na dini.?
 
Mara ya mwisho niliposoma biblia niliona Yesu alienda kwenye sinagogi na kusoma kitabu cha torati/Isaya.
KWANI UNADHANI MDA WOTE ALIKUWA ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI PEKEE ILI AHUBILIE WATU KAMA ILIVYO KUWA KWA MAFARISAYO WAKIFUATA SHERIA YA MUSA?

YESU ALIKUWA FREE HATA AKIFIKA MSIKITINI ATASOMA VYA MSIKITINI MAANA ALISEMA YA KAISARI MPENI KAISARI YA MUNGU MPENI MUNGU
 
KWANI UNADHANI MDA WOTE ALIKUWA ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI PEKEE ILI AHUBILIE WATU

YESU ALIKUWA FREE HATA AKIFIKA MSIKITINI ATASOMA VYA MSIKITINI MAANA ALISEMA YA KAISARI MPENI KAISARI YA MUNGU MPENI MUNGU
Wakati wa Yesu hakukuwa na misikiti. Uislamu ulianza miaka zaidi ya 600 baadaye.
 
Tunajua usukumani mna wasanii wenu wakina Best Naso , Brother K ndio wanabamba sana huko.
 
Nyakati hizo hakukuwa na misikiti ninavyokumbuka.Mimi leo ukiniuliza Yesu alifuata dini ipi?Nitajibu ya Kiyahudi.Nitakuwa nimekosea?
 
Wakati wa Yesu hakukuwa na misikiti. Uislamu ulianza miaka zaidi ya 600 baadaye.
HUO NAKUPA MFANO TU NIKIWA NA LENGO LA KUKUJUZA KWAMBA YESU HANA DINI YEYE NI WAWATU WOTE DINI NI TRAP TU KWA WASIO FAHAMU
 
Mara ya mwisho nilipoangalia takwimu za dini/imani walioitwa wapagani walikuwa wengi zaidi ya waislamu na wakristo.

Kuna mambo mawili,
1. Nilisema 'mtu akisema 'dini' 90% ya watanzania watafikiria uislamu na ukristo. Sikumaanisha 90% ya watanzania ni waislamu na wakristu.

2. Naomba unifahamishe, hizo takwimu za 'wapagani' kuwa wengi zaidi ya wafia dini za kikoloni ni za hapa Tanzania au kidunia?
 
Nyakati hizo hakukuwa na misikiti ninavyokumbuka.Mimi leo ukiniuliza Yesu alifuata dini ipi?Nitajibu ya Kiyahudi.Nitakuwa nimekosea?
UTAKUWA UMEKOSEA MAANA YESU HANA DINI NA WALIO KUWA ADUI ZAKE NDIO HAO WASHIKA DINI MAFARISAYO WA KIYAHUDI WAKAMSULUBISHA.

KWA KUWA ALIKUWA HAFUATI DINI YAO
 
Tunajua usukumani mna wasanii wenu wakina Best Naso , Brother K ndio wanabamba sana huko.
Ndio story zenu hapo Buguruni Sokoni mnaongopeana hivyo, huku Ngoma za asili zinapigwa Ila Bongo Flava Marioo Diamond na wengine wanasikilizwa pia nyumba haina umeme haina solar Ila tunaangalia Video kwenye flatscreen na nyumba ni ya Udongo, karibu uone maajabu
 
Tanzania kama nchi.
 
Niliona alikuwa anafuata Uyahudi ila akawa mkosoaji wao mkubwa.

NDIO NA MWISHO WA SIKU WALIMFUKUZA KATIKA DINI YAO HATA WALITAKA KUMSUKUMA KWENYE KORONGO REFU ILI AFE ILA WAKATI WAKE ULIKUWA BADO

ULIPO FIKA WAKAONA HATA KUMFUKUZA HAITOSHI WAKAMSULUBISHA MSALABANI AKATWAA ROHO YAKE
 
MIMI SIFUATI DINI NAMFUATA YESU NIKIFUATA DINI NAJUA NA MIMI SITAWEZA KAMA YESU NITAGEUKA MKOSOAJI NA WATANITIMUA KWENYE DINI YAO KAMA YESU
Simulia kidogo..
Unamfuataje?
Yaani unatenda, unawaza au unsema nini ili kumfuata?
 
Simulia kidogo..
Unamfuataje?
Yaani unatenda, unawaza au unsema nini ili kumfuata?
NASIKIA KUITWA NA SAUTI YAKE MAANA WOTE WALIO NA YESU AMBAO HAO NDIO WATOTO WAKE HUISIKIA SAUTI YAKE.

HATA WEWE HAPO ULIPO SI UNASIKIA SAUTI YA YESU BABA YAKO AKIKUITA AU BADO HUISIKII?
 
Kama hayuko tayari kuwa chawa wa Hangaya hatuzihitaji nyimbo zake kiroboto Mpoto anatutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ