MFAHAMU:-Manongu Mzungu anaeimba nyimbo za kisukuma

Wasukumu wana dunia yao , kuna wasanii wanabamba huko huku mikoani hawajulikani ..Ukimpeleka Diamond hawana time nae kabisa .
Kipind cha mavuno Kahama kuna wasanii wanapiga show , wanapiga pesa balaa ni matajiri huko .
Sahihi majuzi niliwaona viunga vya kakola
 
S
Siyo kweli ungetaja tu vijana wa waliozaliwa 2000+ ningekukubalia hao wanamjua diamond na wengine. Asa bibi wa miaka60+ atacheza komasava ama amapiano yoyote jibu ni hamna.

Ukichukua radio za mchina hizi za Bluetooth 10 huenda mbili pekee utakuta Zina miziki ya bongo fleva na pengine wame mix na zakisukuma. Huo ndio ukweli Ukatae Leo kesho utaukubali tu.
 
Una hoja mkuu usikilizwe mara moja
Na zile Ngoma za kisukuma na makabila mengine , inafaa sasa zianze kufanyika nchi nzima. Yaani tuwe msimu wa kufurahia tamaduni zetu kama vile nchi ya Brazil na nchi za Carrebean wanavyokuwaga na carnivals.

Wanacheza Samba, wanamatch mitaani, wanavaa mavazi traditional, wanakula misosi ya kiutamaduni.
Mambo saafi kabisa.

Hapa Bongo Mambo hayo, utaambiwa ni ushetani.
Brainwashed individuals wa dini.
 
Na zile Ngoma za kisukuma na makabila mengine , inafaa sasa zianze kufanyika nchi nzima. Yaani tuwe msimu wa kufurahia tamaduni zetu kama vile nchi ya Brazil na nchi za Carrebean wanavyokuwaga na carnivals.
Nikweli mkuu sema Kuna baadhi wasanii wanatuaibisha sana uchezaji na uvaaji wao unakuwa ni matusi na si utamaduni Tena!
 
Mchungaji anasimama kanisani anakwambia kuangalia ama kusikiliza nyimbo za utamaduni ni dhambi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tena anakutafutia na fungu kama mhuri wa kuthibitisha alicho kisema
 
Nikusahihishe kidogo huyu sio m-Sweden bali ni m-Danish

Huyu anatokea Copenhagen ambako ndiko alikuwa anatokea marehemu Padre Clememt mwanzilishi ya Makumbusho yaliyopo Bujora Mwanza

Mbali na hilo, Niels Bohr; mmoja wa wanaSayansi wakubwa sana wa Karne ya 20, alikuwa mwenyeji wa Copenhagen

Huyu Niels alikuwa ni rafiki yake na mwanasayansi mwingine mahiri Albert Einstein ambaye aliwahi kupewa Nobel Prize ya huu umeme wa solar mwaka 1921

Niels Bohr naye pia aliipata prize hiyo mwaka uliofuata wa 1922
 
Nimepokea mkuu. Na ahsantee sana. Binafisi nimefatilia tangu mwaka Jana kama una details zako na ulipo mtaja huyo father nakubaliana nawewe mkuu
 
Nilifika bujora museum Mwanza, ndo huko?
 
Nimepokea mkuu. Na ahsantee sana. Binafisi nimefatilia tangu mwaka Jana kama una details zako na ulipo mtaja huyo father nakubaliana nawewe mkuu
Wana kituo chao kingine cha sanaa pia huko Copenhagen na walishawapeleka wasukuma wako huko. Niliwahi kufika na kukaa huko kipindi fulani lakini kwa bahati mbaya nikasahau kwenda kuwatembelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ