MFAHAMU:-Manongu Mzungu anaeimba nyimbo za kisukuma

Wana kituo chao kingine cha sanaa pia huko Copenhagen na walishawapeleka wasukuma wako huko. Niliwahi kufika na kukaa huko kipindi fulani lakini kwa bahati mbaya nikasahau kwenda kuwatembelea
Hongera sana mkuu hiyo pia naijua maana Huwa ana share kwenye account Yake ya YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…