Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kabisa.. nyerere naye alikua mwoga sana..
Kuna siri nyingi sana kwenye utawala wa awamu ya kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siri nyingi sana kwenye utawala wa awamu ya kwanza
Uliyosema ni kweli kabisa ila wakati wa vita yeye hakuwa waziri kamili, nadhani huenda alikuwa waziri mdogo; sasa hivi sikumbuki aliongoza brigade gani ila ni kati ya wale mabrigedia na majenerali wapatao 12 walioingia na kuiteka Uganda yote.Pichani ni Marehemu Major Generali Muhiddin Kimario, ni moja kati ya mawaziri wawili tu waliowahi kudumu katika nafasi zao za wizara ya mambo ya ndani kwa muda wa miaka mitano (5) katika Historia ya Tanzania.
Mwaka 1978 alitumwa kwenda mkoani Mwanza na Mwalimu Nyerere kwenda kuwaaga Wanajeshi waliokuwa wanakwenda kupigana Vita vya Kagera kumn'goa Idd Amin Dada, wakati akitoa Hotuba yake ndani ya Viwanja vya Nyamagana ghafla aliamua kujivua uwaziri na kuamua kwenda vitani "Mkuu wa Mkoa ninaomba ufikishe taarifa hii kwa mh Rais kwamba najivua Uwaziri na ninaamua kurudi jeshini kuungana na wenzangu leo kwenda kumshikisha Adabu Amin"
View attachment 1498576
Kuna kisa kingine cha kusikitisha cha jamaa mmoja alikua Captain wa Jeshi akiitwa Mohamed Martin Tamimu(Comandoo). Huyu aliuzwa vibaya sana kwa kupelekwa nje ya nchi kufanya kazi ambayo yeye akiamini ni yakulitumikia taifa.Kabisa.. nyerere naye alikua mwoga sana..
Nyerere alikuwa hataki wengine wapate power na kukubalika na jamii na ni sifa ya viongozi wengi wa kiafrika na duniani.
Kumbe huo ujinga wa kupeana vyeo kijinga jinga ilianziaga zaman. Wanafichiama aibu ndo maana ata kizazi cha sasa kipo hvyo hvyoAmefariki 2005, ila Kisa chake cha kusikitisha ndio hiki
Kuna askari wengi waliokuwa mstari wa mbele wanasema Lupogo alishindwa KABISA kuendesha vita na kurudishwa makao makuu. Kikosi chake cha 205 kuchukuliwa na Kimario. Kimario aliendesha mapigano makali na kikosi chake cha 205 kiliweza kukata katikati ya Uganda mpaka Nimule kwenye mpaka wa Uganda na Sudan. 205 ndiyo kikosi kilichopoteza kifaru kimoja baada ya mapigano makali ya masaa 8 ili kuteka daraja muhimu la Maporomoko ya Karuma Kwa maajabu,Mwl Nyerere alimpandisha cheo Lupogo kuwa Meja Jenerali na kumuacha yule aliyepiganisha vita na kushinda Kimario. Wewe jiulize inakuaje aliyeshindwa vita kupandishwa cheo na yule liyeshinda kuachwa mpaka alipopandishwa cheo na Rais A.H Mwinyi.Hizo ndizo changamoto za Mstari wa mbele walizokuwa wanazipata wapiganishaji wetu
Zaman jeshi mtu alikuwa anaingia kwasababu ya uzalendo ila sahv 99% wanaenda kwa sababu ya uwakika wa ajira na sio kwamba ni wazalendoSaa hizi wenye moyo wa kuachia cheo na marupurupu ni wachache,,labda mmoja ni yule mzee merky sadic,huyo nae ni kati ya watu wenye nyoyo zilizoridhika
Kuna kisa kingine cha kusikitisha cha jamaa mmoja alikua Captain wa Jeshi akiitwa Mohamed Martin Tamimu(Comandoo). Huyu aliuzwa vibaya sana kwa kupelekwa nje ya nchi kufanya kazi ambayo yeye akiamini ni yakulitumikia taifa.
Yalitokea mambo kadhaa. Waliomtuma wakamgeuka na kumruka, akawa adui wa huko alipotumwa na adui wa nchi iliyo mtuma! Akajikuta analazimika kuingia kwenye uasi/uhaini na aliuwawa pale Kinondoni Mkwajuni kwa kufyatuliwa risasi na mwanasiasa maarufu sana hapa nchini ambaye habari zake za mwisho alikua upinzani
Hizi habari ziko nyingi. Mimi ninae jamaa yangu alishiriki vita hivyo, alipotea Uganda kwa muda na alipatikana baada ya kuokotwa pembeni ya MTO hajitambui, wazee wake walishafanya hitma wakiamini alifariki. Huyu mzee alipata tb. Akikusimulia alivyoponea chupu chupu na majeshi ya Amini huwezi kuamini. Alipopotezana na wenzake hakuwa na chakula. Ilifika wakati ikawa anakunywa maji ya MTO yaliyokuwa yakinuka na kuelea maiti. Alikuwa anaumwa na tb kwa kipindi kirefu kutokana na athari za vita. Aliishia kupewa asante. Kwa kweli wako wengi. Na wakimsema vibaya sana Mwl Nyerere.Amefariki 2005, ila Kisa chake cha kusikitisha ndio hiki
Kuna askari wengi waliokuwa mstari wa mbele wanasema Lupogo alishindwa KABISA kuendesha vita na kurudishwa makao makuu. Kikosi chake cha 205 kuchukuliwa na Kimario. Kimario aliendesha mapigano makali na kikosi chake cha 205 kiliweza kukata katikati ya Uganda mpaka Nimule kwenye mpaka wa Uganda na Sudan. 205 ndiyo kikosi kilichopoteza kifaru kimoja baada ya mapigano makali ya masaa 8 ili kuteka daraja muhimu la Maporomoko ya Karuma Kwa maajabu,Mwl Nyerere alimpandisha cheo Lupogo kuwa Meja Jenerali na kumuacha yule aliyepiganisha vita na kushinda Kimario. Wewe jiulize inakuaje aliyeshindwa vita kupandishwa cheo na yule liyeshinda kuachwa mpaka alipopandishwa cheo na Rais A.H Mwinyi.Hizo ndizo changamoto za Mstari wa mbele walizokuwa wanazipata wapiganishaji wetu
Dah! Pole zake ndio nchi zetu za kiafrica zilivyoHizi habari ziko nyingi. Mimi ninae jamaa yangu alishiriki vita hivyo, alipotea Uganda kwa muda na alipatikana baada ya kuokotwa pembeni ya MTO hajitambui, wazee wake walishafanya hitma wakiamini alifariki. Huyu mzee alipata tb. Akikusimulia alivyoponea chupu chupu na majeshi ya Amini huwezi kuamini. Alipopotezana na wenzake hakuwa na chakula. Ilifika wakati ikawa anakunywa maji ya MTO yaliyokuwa yakinuka na kuelea maiti. Alikuwa anaumwa na tb kwa kipindi kirefu kutokana na athari za vita. Aliishia kupewa asante. Kwa kweli wako wengi. Na wakimsema vibaya sana Mwl Nyerere.
Habari moja kumhusu Kimario ni kwamba kuna kipindi kulikuwa na stalement kwenye mapigano na jeshi la Amin: askari wa Tanzania walikuwa wakiwasukuma askari wa Amin; na Amin anajibu mapigo kwa kuwasukuma askari wa Tanzania. Hii sukuma nikusukume ilidumu kwa siku kadhaa. Wakati huo waandishi wa habari wa Tanzania walikuwa wanaidadisi Serikali kuwaruhusu waende kujionea wenyewe mambo yalivyo ili waandike wanachoona na si kuambiwa tu na Serikali kama ilivyokuwa ikifanyika mpaka hapo. Serikali ikakubali kuwapeleka kundi la waandishi wa habari, akiwemo Ben Kiko ambaye wengi watakumbuka habari alizokuwa akiripoti kwenye Radio Tanzania kwa ustadi mkubwa. Ndege iliyowachukua waandishi hao wa habari iliondoka Dar na kutua Zanzibar. Hapo hakutelemka mtu na wala hakukuwa na kujaza mafuta. Badala yake mtu mmoja tu alipanda na ndege ikaondoka. Mtu huyo alikuwa Mhidin Kimario. Waandisshi wa habari wakawa wakijiuliza hivi kweli ilikuwa lazima ndege kwenda Zanzibar kuchukua mtu mmoja tu? Jibu walijionea wenyewe baada ya kufika Uganda na Kimario kushika hatamu ya kuongoza mapigano. Jeshi la Tanzania likawafurumisha askari wa Amin moja kwa moja. Mwandishi akamaliza habari kwa kusema kwamba kushinda kwa mapigano si kwa ubora tu wa askari wako au silaha walizo nazo ila pia na uongozi uliopo mstari wa mbele.Pichani ni Marehemu Major Generali Muhiddin Kimario, ni moja kati ya mawaziri wawili tu waliowahi kudumu katika nafasi zao za wizara ya mambo ya ndani kwa muda wa miaka mitano (5) katika Historia ya Tanzania.
Mwaka 1978 alitumwa kwenda mkoani Mwanza na Mwalimu Nyerere kwenda kuwaaga Wanajeshi waliokuwa wanakwenda kupigana Vita vya Kagera kumn'goa Idd Amin Dada, wakati akitoa Hotuba yake ndani ya Viwanja vya Nyamagana ghafla aliamua kujivua uwaziri na kuamua kwenda vitani "Mkuu wa Mkoa ninaomba ufikishe taarifa hii kwa mh Rais kwamba najivua Uwaziri na ninaamua kurudi jeshini kuungana na wenzangu leo kwenda kumshikisha Adabu Amin"
View attachment 1498576
Kama kitu wewe hukijui usiseme kua hakipo au hakikuwahi kuwepo. Unajua baada ya kutoka vitani Tamimu alikua wapi na alikua anafanya nini?Huu nao ni uwongo mwingi sana. Ni kweli Tamimu aliuwawa Kinondoni kutokana na uhusika wake katika njama za kupindua serikali mwaka 1982; hakuuzwa bali alijiunga na akina Zakaria Hanspope, Uncle Tom, Badru Kajaja na wengineo katika njama za kutaka kuipindua serikali kutokana na maisha magumu yaliyofuatia baada ya vita.
Tanzania ya leo tumelogwa nini kuamini hizi conspiracy theories kupita kiasi?