Mfahamu "Mkandala Rufufu" mzee wa kukotola

Nakumbuka The Drunken master
 
Kanyampasiira hapo ni pale mtu kabanwa ready handed huna pa kuchomokea,kama alivyofanyiwa KOLO leo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye movie za makomandoo wa marekani na wavietinam niliinjoy sana
 
Binafsi yangu ni movie zilizoongezewa manjonjo na huyu mzee tu nnazoweza kuziangalia, # G.O.T# Ni Lufuuuuufu Mukandala lukoma abambaijo
 
Alikuwa mwasisi na alihamasisha sana vijana wwngu kuanza kufanya kazi za kuingiza sauti kwenye picha. Alikuwa mzuri sana kwenye picha za kivita.
Juma khan alikuwa mzuri san kwenye picha za kihindi.

Kiufupi mkandala alijua sana kazi yake na alitumia maneno nje ya picha ili kunogesha na hata picha ambayo ilikuwa imepoa inachangamshwa na maneno yake.
Apumzike kwa aman
 
Mzee wa kamnyweso, makagari, akamchoma Uswadi, anataka kumtafuna uroro, Indaa!!!
Msimsahau Dj Afro Amigo.
Rufufu nimuongo alikua anaelezea matukio badala ya kutafsiri maneno.

Kwangu Dj Mack na Dj Afro ndio the best wanajua kingereza vizuri na hawachoshi kuwasikiliza
 
Apumzike kwa aman

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aliporudi kutoka vitani kagera miaka ya 79 aliamua kuacha jeshi hakustafu, tuliishi mbagala kwa makuka, nyumba yake kwa miaka ile ilikuwa ni miongoni mwa nyumba kali sn kwa makuka mbele alijenga fremu kadhaa za biashara, alikuwa kipenzi cha watu sn Huyu mzeee dah, mwenyezi mungu amuweke anapostahili
 
Hahaa
 
Amen
 
Lufufu alikuwa anajua kiingereza vizuri kbsa.. Ila kipind kile technolojia ilikuwa ndogo.. Ilikuwa ni ngumu kuangalia movie na kutafsir hapo hapo..

So alichokuwa anafanya,anaangalia movie yote zaid ya mara moja.. Then anaikalili yote na kuanza kuitafsiri kwa maneno yake navimbanga vyake..

In short huyu mzee ndio kapiga ela sana enzi zile kwa maana VHS moja alikuwaana uza kwa 1500 hadi 2000... Sasa fikiria kwa kipind kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…