Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

huyu anafaa kabisa kuwa mjomba wetu.
ccm oyeeee.
 
DUBAI, wakati ikiendesha bandari ya Djibouti, ilishutumiwa kuingiza silaha za kivita nchini Ethiopia kui support serikali tawala kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Dubai ilikuwa inanufaika na biashara ya bandari ya Djibouti ambayo mteja mkubwa alikuwa ni Ethiopia. Dubai kwa sasa imetimuliwa kwenye bandari ya Djibouti.

Silaha zinazoonekana vita ya Ukraine mara ya kwanza zilionekana Ethiopia.

UAE supplying Ethiopia with arms, news reports claim
 
Huyu ni kichwa changanya hawa viprofessor uchwara vyote waelezee tu huyu kawezaji sio wafanye reserch hapana kafanyaje kugeuza nchi kwa miaka 30 tu, watabaki rasilimali zetu 🙄
 
Sisi tumesomeshwa ujinga na wajerumani na Waingereza.

Kila kizuri tunaona ni cha "kizungu".
Wangempa Shekh nchi yote miaka 20 tungekuwa na pepo ya dunia. Hivi hatuwezi kumkodishia nchi yote sio bandari tu nchi nzima miaka 20 tu. Naunga mkono hoja.
 
Pale Dubai Airport kuna wakati waliweka picha za history ya airport yao kutoka 1986 mpaka sasa huyu mwamba ni hatari, alianza na kukodi ndege moja tu toka Pakistan leo Emirates air wako wapi na Pakistan airline wako wapi. Hii mitaa leo ukipita ni balaa
 
Unauhakika??
Pongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
[/QUOTE]
 
duuh hafai kupewa Bandari yetu kama anatabia hizo

atasababisha nasi Wake zetu watukimbie na watoto wetu wateswe
 
[/QUOTE]
Huwez kuendelea vile na bado ukawa mpole kama Dr Silaa
 
Wangempa Shekh nchi yote miaka 20 tungekuwa na pepo ya dunia. Hivi hatuwezi kumkodishia nchi yote sio bandari tu nchi nzima miaka 20 tu. Naunga mkono hoja.
Hiyo bandari akianza Sheikh, utajionea masahaba wake wtavyomiminika hapa.

Unajuwa Sheikh yule masahaba zake wote ni mabilionea na wanazijuwa fursa zinazotokana na bandari/

Utasikia sasa hivi, mwekezaji anataka kukodisha reli ya Zambia ataweka vichwa na mabehewa yake. Mijitu inatumia fursa.

Hii ya masheikh mimi naichukulia kuwa ni neema kubwa sana imetufikia Watanzania, tuzitumie fursa kwa faida yetu.

Si unaona sisi tunabishana Rostam huyo anafunguwa kiwanda cha kufuwa umeme wa jua na gas Zambia. Unafikiri gas agtaisafirisha kutoka wapi? Na kwa njia ipi.

Kuna njia mbili tu za kusafirisha gas kiurahisi kwa sasa ili mradi wake ufanikiwe, alete mabehewa ya kusafirishia gas aitumie TAZARA iliyokaa bure au ifanywe pipeline ya gas. Au anunuwe gas Angola huko atmie reli ya zamani iliyokuwa Rhodesia Raiway, iliyokuwa inaunganisha Northern Rhodesia amabyo ndiyo Zambia kwa sasa na Southern Rhodesia ambayo ndiyo Zimbabwe kwa sasa.

Hivi tayri anawahi fursa, gas hapa tunayo inayozalishwa sasa hivi inalisha sehemu chavhe sana. Nyingine nyingi inapotea bure tu.

Sisi tumekaa tunabishana kwa mambo ya faida ya nchi.

Tena hao Waarabu ni fursa hiyo wawekeze bandari ya Gas ili tuisafirishe nje kiurrahisi.

Waarabu hawana longolongo hao. Wanafanya kweli.


Zanzibar wameshaanza huko, sisi tunalalama kijinga tu.
 
Halafu matajiri wakiona Shekh kawekeza hapa basi hata hofu wanondoa wanajuwa hii sehemu salama. Viva Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…