The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya RaiAnaitwa Vivek Oberoi ali act kama adui kwenye filamu ya Krrish 3 alikuwa anatumia jina la Kaal.
Salman Khan huwa ana bahati ya kupata mademu visu sana tatizo lake ana ubabe ubabe wa kijinga kwa mademu ndio maana wana mkimbia, pia kicheche sana.
Mpaka sasa Salman Khan hajaoa na hana mtoto, couple yake na Katrina Kaif ilikuwa inavutia sana ila alizingua demu akasepa.