Mfahamu muigizaji Kajol

Mfahamu muigizaji Kajol

Anaitwa Vivek Oberoi ali act kama adui kwenye filamu ya Krrish 3 alikuwa anatumia jina la Kaal.

Salman Khan huwa ana bahati ya kupata mademu visu sana tatizo lake ana ubabe ubabe wa kijinga kwa mademu ndio maana wana mkimbia, pia kicheche sana.

Mpaka sasa Salman Khan hajaoa na hana mtoto, couple yake na Katrina Kaif ilikuwa inavutia sana ila alizingua demu akasepa.
Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
 
Hance umetupiga cha utosi. Kajol na Rani ni cousins
Kweli.

Nimefuatilia nimehakiki ni cousins.

Ila kwenye Kuch Kuch walitendea haki sana hawa wawili .

Achilia mbali Rani na Kajol,Shilpa Shetty na Sunil kwa muda mrefu nao nilikuwa najua ni ndugu licha ya kucheza kama wapenzi kwa filamu kadhaa kama Dhadkan kumbe hawana udugu wowote hata wa kusingiziwa.
 
Aishwarya Rai aliwahi kuwa miss world 1994 .

Priyanka nilikuwa sijui kama na yeye alishawahi kuwa miss world.
Lara Duta
Sushmita sen..

Orodha ni ndefu Sana

Wengine waliishia Miss India Tu hawakufanikiwa kuwa miss world au miss universe ndo wakaingia Bollywood...
Aishwarya Rai na Priyanka chopra Lara Duta ndo katika waliofanikiwa...

Hata Zeenat Amaan aliwahi kuwa miss India
 
Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
Salman kamkung'uta sana makofi huyo demu alipoachwa akili ikamkaa sawa ,alijutia sana yani kumkosa Aishwarya Rai.
 
Kweli.

Nimefuatilia nimehakiki ni cousins.

Ila kwenye Kuch Kuch walitendea haki sana hawa wawili .

Achilia mbali Rani na Kajol,Shilpa Shetty na Sunil kwa muda mrefu nao nilikuwa najua ni ndugu licha ya kucheza kama wapenzi kwa filamu kadhaa kama Dhadkan kumbe hawana udugu wowote hata wa kusingiziwa.
Hahaaaa kama Uday Chopra na Priyanka Chopra au kina Khan Salman, Sharukh, Seif Ali, Aamir na wengineo. Kuchkuch ni bonge la movie walijua kuigiza ila mimi siipendagi kihivyooo.
 
We unapenda ipi??
 
Mkuu acha kabisa hizo pisi

Kuna manisha koilala
Manisha Koilala noma sana yule demu, kiuno nyigu 😂😂😂😂😂😂😂

Nilimkubali sana kwenye Jaan Dushman ,pia kuna Ile Akele hum Akele Tum na Amir Khan alifanya vizuri sana .
 
Amili kani kwenye ile movie alifanya nichukie mapenzi lakini mwisho wa siku nikasema wote ni waduazi wanigiza tu katika movie.
 
Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
Kumbe maisha yao ya kimahusiano ni kama mastaa wa Hollywood na bongo movie tu.

Usanii kwa kwenda mbele.
 
Aishwarya Rai Bachchan - Wikipedia ameshakuwa miss world mwaka 1994, hivyo kala chumvi nyingi kiaina, kumuona Salman kazeeka (enzi hizo) aliamua kumzingua tu jamaa.
Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
 
Hapana ..
Alinyang'anywa Karishma Kapoor na Salman Khan...baadae Salman akampiga chini Karishma akaenda beba Aishwarya Rai... Aishwarya Rai nae akampiga chini Salman akaenda chukuliwa na jamaa underground alikuwa anaitwa Oberoi something baadae akampiga chini huyo Oberei akaja olewa na mtoto wa Amitabh Bachan....

Tunaambiwaga wahindi wanaolewa bikra kumbe uongo
 
Back
Top Bottom