Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

Waislam wamekukosea nini?


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hapana, waislam hawajanikosea na mawapenda sana.
Ila ni kati ya Makundi maalum matatu yenye upendeleo wa kipekee, ni mapacha watatu wanaopewa watakacho kwa hali zao.
 
Kwenye watu Wajinga milioni 60 wewe ni namba Moja wewe sio jilala Bali wajalalani,ukristo ni ukafiri ndio maana wengi wanaamua kusilimu na kuwa waislamu badala ya kuabudu vipande vya miti shingoni..
Km wanaamua , wale walioua wanafunz kule uganda wanafany vile kwasabab gn
 
Sawa, kabisa.
Allah Apostle say: 'Whoever wants to see Satan should look at Nabtal.' He was a sturdy BLACK man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks

Sahih Muslim 5:2334
Huo ni uongo wako, Allah kashusha Qur'an, tupe ushahidi wa Qur'an. Usidanganye.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Tatizo la wakristo wengi wao ni mbumbumbu sana na ndio Hilo kundi linajitahidi kuukataa ukweli huku wakinadi dini za mababu zao..

*...wamekwisha kufuru wale wasemao Mungu ni watatu... *

Kwa kumfanya Allah kuwa mwenye mwana.
Wap umesoma mungu ni watatu
 
Na ndio utamaduni uliostaarabika kuliko tamaduni zote.. Wewe mvaa rozari huutaki uislamu Ili wenzio wanaifuata haki
Alshabab , boko haram , is etc kwa ufupi mada irud kwako , hongeren kwa kustaarabika kwa kuchinja watoto wadogo
 
Mungu baba Mungu mwana Mungu roho ...

Hakuna mstari kwenye biblia usemao ukristo ni dini .. na ni dini ya haki
Ww ni kilaza sana , kwahiyo hapo ikamaanisha mungu wapo watatu ?
 
Hapana, waislam hawajanikosea na mawapenda sana.
Ila ni kati ya Makundi maalum matatu yenye upendeleo wa kipekee, ni mapacha watatu wanaopewa watakacho kwa hali zao.
Haupo sahihi, Uislam haufananishwi na kundi lingine lolote, umakosea sana kufanya hivyo.

Sikiliza ni nani Waislam post #1.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Akil zako bn , mababu zetu km wanasoma wanalia sn , mtu anatetea mizimu ya waarab km yy ni muarabu
 
Akil zako bn , mababu zetu km wanasoma wanalia sn , mtu anatetea mizimu ya waarab km yy ni muarabu
Hizo ni fikra zako, wewe unatetea nini?

Wewe ni mstaarabu au lgbtq?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
FaizaFoxy sijawahi kukusoma ukitukana kama wale wengine wakibanwa kwa hoja kwenye nyuzi zao wanaishia kutukana kama hawana akili nzuri
 
Ukiwa unakosoa kwa ya kukashifu na kutukana bila ya kuwasilisha hoja that's hateful behaviour na itakuwa sawa kuitwa majina yote.

Uislamu haujatakaa challenge na kukoselewa ,hata mtume alikuwa akipokea hizo challenge kwa kuwaruhusu wasio waislamu kuingia msikitini na kuuliza maswali kwasababu hii ni njia mojawapo ya ufanya daawa
 
Nyiny kweny mabungw yenu mna ruhusu wengine kuwaelimisha kuhusu imani zao?
Mabunge yetu yepi?

Uislam hauna bunge. Tuna kitu kinaitwa *shura", maana yake kushauriana.


Unaruhusiwa kushauriana na Muislam yeyote wakati wowote.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
FaizaFoxy sijawahi kukusoma ukitukana kama wale wengine wakibanwa kwa hoja kwenye nyuzi zao wanaishia kutukana kama hawana akili nzuri
Hao ni mapandikizi ya gbtq, wapo wanjifucha kwenye pazia la Uislam na oazia la Ukristo.


Waislam tunafundishwa tujadiliane kwa staha, hekima na amani.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 

Ameelezea kuwa Mtume alioa binti wa miaka sita?
Ameelezea Mtume alisema waumini wanywe Mkojo wa ngamia kwavile ni dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…