Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

Waislam wamekukosea nini?


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hapana, waislam hawajanikosea na mawapenda sana.
Ila ni kati ya Makundi maalum matatu yenye upendeleo wa kipekee, ni mapacha watatu wanaopewa watakacho kwa hali zao.
 
Kwenye watu Wajinga milioni 60 wewe ni namba Moja wewe sio jilala Bali wajalalani,ukristo ni ukafiri ndio maana wengi wanaamua kusilimu na kuwa waislamu badala ya kuabudu vipande vya miti shingoni..
Km wanaamua , wale walioua wanafunz kule uganda wanafany vile kwasabab gn
 
Sawa, kabisa.
Allah Apostle say: 'Whoever wants to see Satan should look at Nabtal.' He was a sturdy BLACK man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks

Sahih Muslim 5:2334
Huo ni uongo wako, Allah kashusha Qur'an, tupe ushahidi wa Qur'an. Usidanganye.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Tatizo la wakristo wengi wao ni mbumbumbu sana na ndio Hilo kundi linajitahidi kuukataa ukweli huku wakinadi dini za mababu zao..

*...wamekwisha kufuru wale wasemao Mungu ni watatu... *

Kwa kumfanya Allah kuwa mwenye mwana.
Wap umesoma mungu ni watatu
 
Na ndio utamaduni uliostaarabika kuliko tamaduni zote.. Wewe mvaa rozari huutaki uislamu Ili wenzio wanaifuata haki
Alshabab , boko haram , is etc kwa ufupi mada irud kwako , hongeren kwa kustaarabika kwa kuchinja watoto wadogo
 
Mungu baba Mungu mwana Mungu roho ...

Hakuna mstari kwenye biblia usemao ukristo ni dini .. na ni dini ya haki
Ww ni kilaza sana , kwahiyo hapo ikamaanisha mungu wapo watatu ?
 
Hapana, waislam hawajanikosea na mawapenda sana.
Ila ni kati ya Makundi maalum matatu yenye upendeleo wa kipekee, ni mapacha watatu wanaopewa watakacho kwa hali zao.
Haupo sahihi, Uislam haufananishwi na kundi lingine lolote, umakosea sana kufanya hivyo.

Sikiliza ni nani Waislam post #1.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Waiam wengi duniani ni watu weusi, Uislam ndiyo dini ya kwanza Afrika.

Lbda ukiri kuwa wewe mtu mweusi unambagua mtu mweusi mwenzako kwa kuwa hauna mafundisho ya Kiislaam.


Uislam unasema mbora kati yetu ni mcha Mungu. Nenda msikiti wowote dunini utayaona hayo, wote bega kwa bega.


Sasa nenda kanisa la wazungu kama utaingia ndani wewe, utaitwa kibaka tu, na ukifanikiwa juruhusiwa kuingia, utakuwa backbencher tu.

Si unafahamu neno backbenchers lilianzia wapi? Au haufahamu? Kama hayo fahamu uliza.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Akil zako bn , mababu zetu km wanasoma wanalia sn , mtu anatetea mizimu ya waarab km yy ni muarabu
 
Akil zako bn , mababu zetu km wanasoma wanalia sn , mtu anatetea mizimu ya waarab km yy ni muarabu
Hizo ni fikra zako, wewe unatetea nini?

Wewe ni mstaarabu au lgbtq?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
FaizaFoxy sijawahi kukusoma ukitukana kama wale wengine wakibanwa kwa hoja kwenye nyuzi zao wanaishia kutukana kama hawana akili nzuri
 
Uislam na black people ni 5 na 6.
Ukikosoa chochote kuhusu uislam inakuwa Islamophobia na ukimkosoa mtu mweusi kwa chochote unaitwa rasist.
Lile liwaziri lililoambatana na Ramaphosa Ukraine, porand walipozuia convey yao kwasababu ya ndege yao kuwa na silaha na baadhi yao kutokuwa na genuine documents likakimbilia kusema mnatubagua kwasababu tumetoka Africa.
Bure kabisa!!
Ukiwa unakosoa kwa ya kukashifu na kutukana bila ya kuwasilisha hoja that's hateful behaviour na itakuwa sawa kuitwa majina yote.

Uislamu haujatakaa challenge na kukoselewa ,hata mtume alikuwa akipokea hizo challenge kwa kuwaruhusu wasio waislamu kuingia msikitini na kuuliza maswali kwasababu hii ni njia mojawapo ya ufanya daawa
 
Nyiny kweny mabungw yenu mna ruhusu wengine kuwaelimisha kuhusu imani zao?
Mabunge yetu yepi?

Uislam hauna bunge. Tuna kitu kinaitwa *shura", maana yake kushauriana.


Unaruhusiwa kushauriana na Muislam yeyote wakati wowote.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
FaizaFoxy sijawahi kukusoma ukitukana kama wale wengine wakibanwa kwa hoja kwenye nyuzi zao wanaishia kutukana kama hawana akili nzuri
Hao ni mapandikizi ya gbtq, wapo wanjifucha kwenye pazia la Uislam na oazia la Ukristo.


Waislam tunafundishwa tujadiliane kwa staha, hekima na amani.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina.

Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize[emoji1484]




Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.


Ameelezea kuwa Mtume alioa binti wa miaka sita?
Ameelezea Mtume alisema waumini wanywe Mkojo wa ngamia kwavile ni dawa?
 
Back
Top Bottom