Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Fanya hivyo mzee may be I can change my view cause a critical thinker always changes his view when presented with better argument
Nmeshindwa kuilocate kwa sasa ila kuna clip moja fupi hapa inaelezea kiufupi theory hii ambayo bado inafanyiwa utafiti zaidi kila cku ili kuja na conclusion moja nzito kwa ufupi tu inasema gharika lilikuja baada ya water canopy kuanguka duniani na kujaza maji dunia nzima na inadai baada ya mabonge hayo ya barafu kuanguka ndio ilisababisha pia ice age at some point!!


 
Wana wa Mungu agano la kale walikuwa malaika
 
Mkuu soma Post [HASHTAG]#279[/HASHTAG]
 
Zote hizo ni myths, na ndo maana same stories zimepatikana mabara tofauti na kwa namna tofauti zikielezea matukio hayo hayo kwa namna na tamaduni zao.
Mbona mfalme Ogu nmekuwekea hapo mpaka kasri lake liliotajwa kwenye biblia lipo mpaka leo na eneo ambalo alifia kuna kaburi limekutwa lenye vipimo kma ambavyo vipo kwenye biblia au ushahidi gani zaidi unataka kuhusu uwepo wa mfalme ogu???

Hoja yangu hapa ni kwamba kuna ushahidi hta kma ni mdogo wa uwepo wa gharika kuanzia canopu theory inayosuggest kuwa katika muda flani dunia ilikuwa imemezwa na maji (gharika) haijalishi ni gharika la Nuhu au utnapishtim au Unju bin unuku wa mtwara!!! Ila gharika lilikuwepo sasa watu wanatohoa simulizi kutoka hapo na kwa kuwa wengine hawakuwa na contact na maeneo mengine ya dunia hivo wanaeleza story kwa mifano ya jamii zao

Mfano quran inamuita Yesu ni nabii Issa , biblia inamuita nabii issa kuwa ni Yesu..... Talmud inamuita Yesu ni yashua ila story zote zinafanana ssa je itakuwa uongo kisa tu kila kitabu cha dini kinamuita tofauti?? Story ni moja ila kila mtu anaandika kuendana na muktadha wake

So gharika lilikuwepo moja tu ila kila mtu anaelezea kwa muktadha wake!!
 
Hoja yangu sio nebukadneza nasema neno lilitomuka kwenye biblia ya kiebrania ni MOJA yaani bene elohim? Ila limeelezwa kama mwana wa Mungu kwenye mstari wa 23 na baadae ikaelezwa kama malaika kwenye 28 hoja hapa ni kwamba LINA MAANA MOJA kwa muktadha wa kitabu cha daniel na ndio maana limeelezwa kma substitute ya malaika na mwana wa Mungu

Hivyo usiangalie alichosema nebukadneza ila angalia muandishi wa kitabu ambaye alikuwa na ufaham wa dini na alijua tofauti ya mwanadamu na malaika ila bado alitumia NENO moja tu kwenye verse 23 na 28
 
Huyo ogu naye alikua mhutu kama Ww?
Hapana alikuwa kabila la Waamori huko kanani na alikuwa ni mweusi kama mimi ila aliongea lugha ya kisemiti kma ya watu wa mashariki ya kati ya sasa (waarabu) na alitawala TERRITORY inaitwa bashani iliokuwa na majiji 68 ambayo sidhani kma Rwanda yenu itaweza fikisha maana ina jiji moja tu!!!

Ila kwa kuwa umeuliza je alikuwa mhutu ?? Naweza sema ameshare one thing in common na wahutu kwamba wayahudi hawapendi kutawaliwa na makabila mengine ndio maana kila nchi wanayoenda wanataka kutawala wao tu kila nyanja ya nchi na waliwaua hawa waamori sababu waliwaona ni tishio kma tu watutsi mlivyowafanyia wahutu so hilo pekee ndio linaweka relation kati ya mfalme ogu na wahutu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umejibu vizuri sana mkuu
 
Vipi kuhusu Goliath na ndugu zake nao si walikuwa Nephilium?
Yes walikuwa wana damu ya wanefili sababu joshua hakuua wanefili wote wengine walikimbilia gaza waliachwa na ndio baadae tunaona wanaoana na baadhi ya familia za mizraim (misri ya sasa) na wanapata uzao mwingine huko ugiriki ambako ndipo goliath alitokea hivyo basi conclusion ni kwamba NDIO goliath alikua uzao wa wanefili
 
Mkuu wanefili naona walikuwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe na ndio maana hatukuti kwenye uzao wa shem au japhet kuwa kuna uzao wa wanefili ila kwenye kizazi cha HAM pekee ikimaanisha walioana wao kwa wao tu na ndio maana kizazi kikaendelea ona kuanzia canaan mpaka kwa wanawe walikuwa wakubwa na wajukuu mpaka vitukuu kina goliath bado wakubwa hivo kma ulivosema kwamba ni lazima walioana wao kwa wao ila sidhani kma wangeweza kuoana na wanawake wa kawaida fikiria mtu wa futi 16 alale na mwanamke wa kawaida tu si kutafuta kifo tu
 
Mkuu umenifikirisha sana hapo kuhusu uwepo wa pre adamic race...... Dah ntawafuatilia hao manguli na ntafurahi ukitusaidia na hizo tools siku moja tujifunze zaidi. Kwa kweli JF ni home of great thinkers maana kila siku najifunza kitu kipya ubarikiwe sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…