Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

nakupata mkuu.
asante kwa mistari. tatizo ni utata wa maandishi yaliyomo na uhalali kama kweli hivyo ndivyo halisi?

mfano.
ikiwa kikaibuka kitabu kinasema kuna watu walipona kwenye gharika ya nuhu.
Lkni hadithi za vitabu hivyo zikapingana moja kwa moja na Kauli ya Mungu Mwanzo kuwa hakupona mtu.
Pia Yesu naye akasema yale ambayo yalisemwa na Mungu ktk mwanzo akisisitiza hakuna mtu wa nje ya safina aliyetoroka.
huu mgogoro tunautatuaje hapo mkuu.
Malcom Lumumba

Pia tunajiuliza, mwanadamu anaweza kuficha kitu ambacho Mungu anataka kiwe wazi?(neno lake).
Je hao vatican waliovipata kwa nini wasivisambaze dunia nzima maana watakuwa wamefanya kazi ya Mungu kisambaza neno lake. maana kauli kuwa kuna vitabu vya ajabu sana, vyenye siri nyingi vimefichwa mahala watu wasijue nimeisikia kitambo lkn kauli hizo zinachanganya kwa sababu Ikiwa ni Vya Mungu. Huyo aliyevificha atakuwa na uwezo zaidi ya Mungu mwenye hivyo vitabu.

najaribu kutafakari kwa nia njema mkuu.
 
asante mkuu, umesema kweli, nilimsikia kiongozi wangu mmoja wa dini anasema amechukua phd ya mythology, nikajifunza kuna vitu tunapaswa kujua nje ya Bibilia ili kuongeza uelewa pasipo kukana mamlaka ya bibilia.
Pia nadharia nyingi mkuu zitto junior amekuwa akiweka hapa haya mambo na kunifungua akili japo naleta changamoto za hapa na pale maana yanaweza kuchukuliwa na wengine kuwa ni kweli 100% na kujikuta wanapotoka. nakubaliana na wewe tuyachukulie katika viwango vya nadharia sio facts.

Ila story hizi kwa watu wasioimara zinaibua mashaka makubwa juu ya imani yao kwa neno la Mungu. na zao la mashaka ni uasi kwa mamlaka ya uungu na maneno yake.

nakumbuka hata Paulo alikuwa anayajua haya mafundisho hasa ya kigiriki na kuna sehemu anaquote baadhi ya mambo wanayoamini ili awaaminishe watu kwa Ukweli wa Mungu.
Lakini mkuu tunapojifunza mambo haya mazuri na ya kufikirisha ni vizuri kukumbuka pia maonyo ya Paulo kwa kijana Timotheo. 1timotheo 4 ili tuwe wanadini wanaojitambua na sio wanaochukuliwa na kila upepo wa mafundisho na hadithi za kale.
 
P
 
P
 
P
 
1. Ila mkuu biblia iliandikwa kwa context ya ajabu kabisa ukisoma Yuda anasema ENOCH ni mtu wa saba baada ya ADAM ikimaanisha Cain hakuhesabiwa wala watoto wengine wa Adam hawakuhesabiwa ila mtu akisoma tu kwa juu juu hawezi kuona kma kuna mkanganyiko kwenye biblia kuwa kivp Enock ni mtu wa saba ilihali kimahesabu ni mtu wa 12???

Hivyo hivyo hata Biblia inaweza kuwa haikumtambua Og kama MTU hivyo inawezekana alikuwa classified kama mnyama na labda alikuwa mmoja wa wanyama wawili wawili walioingizwa kwenye Safina ya Nuhu if at all nadharia ile ya pili kuwa alikuwa anamsaidia Nuhu kujenga na kuiongoza safina majini itakuwa applied hapa

Je kma definition ya biblia kwa MTU ni hii kivp basi Ogu atatambulika kma mtu if at all watoto wengine wa adam akiwemo cain hawakutambulika kma WATU??
 
it is very true..mimi kuna mada niliweka humu naona ikatumia muda mrefu kua moderated, nikaitoa nikaweka kwingine
 
Nasubiri pia maoni ya Malcom Lumumba kuhusu hii hoja yako nzito
 
alikua na utofauti gani na goliath?
Goliath hakuwa na jipya sana zaidi ya ukubwa wa mwili tu ambao hata kaka zake wale 4 walikuwa na ukubwa sawa na wake tu...... Yote kwa yote wote ni uzao wa kinefili hivyo goliath ni kama kitukuu cha Huyu OG

Ila kwa kuwalinganisha huyu mfalme ogu amemzidi mwili na maarifa maana aliweza kuacha nyaraka ila goliath hakuacha maandiko yeyote yale

Pili mfalme Ogu aliweza kusimamisha majiji 60 na kuyatawala kwa kipindi kirefu hii inaelezea pia alikuwa ni kiongozi haswaa maana kutawala miji yote hyo bila kupinduliwa wala vita za ajabu ajabu basi aliweza kuwadhibiti tofauti na goliath sikuoma kokote alikoonyeshwa kuwa ni kiongozi mzuri

Tatu ogu anasifika kwa ushujaa wake wa kupona kwenye gharika kitu ambacho kwa akili ya kawaida hakiwezekani wengine wote wafe ww upone ila goliath sikuona kwenye simulizi yeyote alifanya mambo ya kutisha ila alikuwa maarufu sababu ya size tu wala hakuna jipya

Hizo ni baadhi ya tofauti nikiwalinganisha ila huyu mfalme og inaoneokana alikuwa tishio zaidi dunia nzima ndio maana kuna mistari zaidi ya 20 ya manabii tofauti inazungumzia ushindi wa waisraeli dhidi ya OG na wanakumbuka kisa kile hadi leo na kipo kwenye vitabu vyao vya kiyahudi!! Tofauti na goliath sioni kokote akitajwa tajwa sana na manabii wa baadae
 
dah aise
basi watakua walikua na maumbo makubwa sana najaribu ku imagine
 
nakupata mkuu, inahitaji tafakari ya neno na kuomba Mungu atusaidie.
Mfano Ukisoma 1Nyakati 1:1 inaonyesha kuwa HENOKO ni mtu wa saba. tunaweza kusema Yuda kusema mtu wa saba aliitolea hapa.
"1/Adam, na 2/ Seth, na 3/ Enosh; na 4/ Kenani na 5/ Mahalaleli, na 6/ Yaredi na 7/HENOKO.
ukweli hadi kufikia henoko kulikuwa na maelfu ya watu tayari wameshazaliwa.
amesema ni mtu wa saba kutoka adam, hajasema mtu wa saba kuzaliwa tangu adam. Yawezekana alimaanisha kizazi cha saba "seventh generation''.

baadhi ya commentators wanasema hivyo.

((((((((Je kma definition ya biblia kwa MTU ni hii kivp basi Ogu atatambulika kma mtu if at all watoto wengine wa adam akiwemo cain hawakutambulika kma WATU??)))))) sijaelewa hapa kiongozi.
 
Fikiria linakugegeda itakuwaje na mty mwenyewe umezoea kibamia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji3][emoji3][emoji3]
Dushe litakuwa linagonga kwenye vipaja kama chelewa![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…