Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Thread 'Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)' Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)
Sasa neno mke linasimama kwa muktadha upi kama mwanamke anaitwa mkeo halafu humgongi?Hizo ratiba za kupigana miti umezitoa kwenye kitabu gani mkuu?