Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

Huyu kiranga mnampaga kichwa kwenye hamna! Mungu hana muda wakuang'aika na binadamu! Angekuwa anahuo muda kisingesalia kitu kinachoenda kinyume nae
 
Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,🫣 sio kama nyie wa sasa hivi.😪
Kunyandua hakuhusian na nguvu! Acha kujiweka kwenye viatu vya wanaume wakat ww ni K.
Wanaume tunanyandua tukitaka hata 7 kwa siku shida hakuna cha maana kwa wanawake wanafanana.
 
Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,🫣 sio kama nyie wa sasa hivi.😪

Nguvu ndiyo watano kwa siku? Hata kikawaida watano unawala tu zama hizi.....Sasa ukiwa unakula watano kwa siku means kazi unafanya saa ngapi na kupumzika unapumzika muda gani? Hizo ni story tu za abunuasi.
 
Kunyandua hakuhusian na nguvu! Acha kujiweka kwenye viatu vya wanaume wakat ww ni K.
Wanaume tunanyandua tukitaka hata 7 kwa siku shida hakuna cha maana kwa wanawake wanafanana.
Nasikia mwangwi mwangwi.. say it again Sir. please
 
Nguvu ndiyo watano kwa siku? Hata kikawaida watano unawala tu zama hizi.....Sasa ukiwa unakula watano kwa siku means kazi unafanya saa ngapi na kupumzika unapumzika muda gani? Hizo ni story tu za abunuasi.
Alikua ni His majesty yule. Akiwa amebarikiwa vingi sana hekima, busara na kila kitu.🙂🙂 unajua alipewa zaidi ya alivyoomba. Kwanini asiweze kuwahandle hao 1000. 😥
 
Amri zote zimetungwa na wajanja. Kuwa na wanawake wengi unamfurahisha Muumba, aliwaumba wanawake ili waolewe.
 
Kwa kawaida ukila pisi mbili tu kwa siku ukiona nyingine unaona kama takataka tu.
My God!😥😥 Kikawaida maanake nini hapa tunamuongelea His majesty Seleman sio nyie mnaotembea na Bahari ya mawazo
 
Siku ile mtakapojua biblia haipo kwa ajili ya mambo ya mwilini ila ya rohoni, ndio siku mtakayofunguliwa mambo mengi na Roho Mtakatifu.

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
My God!😥😥 Kikawaida maanake nini hapa tunamuongelea His majesty Seleman sio nyie mnaotembea na Bahari ya mawazo
Ww endelea na mastory yenu ya vijiwen ungekuwa mwanaume ungeelewa ukisha ejaculate pisi unaiona takataka.
 
Mimi nimeuliza swali kwa waliosoma biblia yote nahitaji kujua

Sipo interested na mijadala yako
Mkuu,

Mimi nimesoma Biblia pia, pengine vizuri kuliko hao unaowafikiria.

Mimi nyumbani kwetu kote ni kanisani, kwa baba na mama. Kote ni familia za kichungaji.

Jadili hoja, usimjadili mtu.

Amri kumi, za kwenye Biblia, hazijakataza mtu kuoa wake wengi.

Hiyo ndiyo point ambayo umeshindwa kuelewa.

Huo si mjadala wangu. Hizo ni amri kumi za kwenye Biblia.

Umeelewa hoja hiyo?
 
Alikua ni His majesty yule. Akiwa amebarikiwa vingi sana hekima, busara na kila kitu.🙂🙂 unajua alipewa zaidi ya alivyoomba. Kwanini asiweze kuwahandle hao 1000. 😥
Tuzungumze kireality ,sasa ukiomba upige kwa siku wanawake buku means yeye siku yake ni zaidi ya 24hrs? Yeye round moja anaenda kwa muda gani? Na je hao wanawake wanakuwa kwenye foleni hakuna gap ya kuoga na kwenda kwa mwanamke mwingine? Maana ukioga na movement ya kwenda au kumsubiri mwingine aje kama kwa siku anapiga buku naona sio realistic.
 
Mkuu,

Mimi nimesoma Biblia pia, pengine vizuri kuliko hao unaowafikiria.

Mimi nyumbani kwetu kote ni kanisani, kwa baba na mama. Kote ni familia za kichungaji.

Jadili hoja, usimjadili mtu.

Amri kumi, za kwenye Biblia, hazijakataza mtu kuoa wake wengi.

Hiyo ndiyo point ambayo umeshindwa kuelewa.

Huo si mjadala wangu. Hizo ni amri kumi za kwenye Biblia.

Umeelewa hoja hiyo?
Ahsante sana mkuu,

Nadhani nilichotaka kukijua ndicho ulichonijibu
 
Kwenye biblia tunaambiwa king Solomon alikuwa ameoa wanawake miasaba (700) huku akiwa na michepuko 300

Najaribu kuwaza je huyu jamaa aliweza kweli kuwapa haki ya ndoa wanawake wote hao?

Kama tunavyojua ngijangija za wanawake visasi, chuki, kusemena na ugomvi wa hapa na pale je huyu jamaa aliwezaje kutatua migogo hiyo kwa wake zake?

Je kama kweli alikuwa na hao wanawake wote vipi kuhusu uzao wake?
Maana biblia haijatueleza kinagaubaga juu ya idadi kamili ya watoto aliowapata kutoka kwa hao wanawake wote.

Au yeye aliumbiwa wanawake maalumu ambao hawakufanana na Hawa dada zetu na mama zetu wa kileo?
 
Back
Top Bottom