barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Photoshop if you ask me! Dont be too easily duped.kama mtoa ahadi yuko hivi,tutaraji lolote?
ila nimefurahishwa na picha ya jani kwenye singilendi yakeView attachment 425885
Qwi!! Qwi!! Qwi!!Arovela
Ebu mpe kwanza mumeo cha asubuhi ndio urudi kukocommentKwani Ufalme ni nini?
Kwani ilihitajika aweje?kama mtoa ahadi yuko hivi,tutaraji lolote?
ila nimefurahishwa na picha ya jani kwenye singilendi yakeView attachment 425885
Huko kwao nasikia ni mbogaMkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
huyu hakaribishwi kamwe TanzaniaMjadili na huyu mfalme mpya wa Thailand, halafu ukabangaize vidagaa. Wao wanaamua waishi vipi, hawazijui shida wenzio.
Mwache ale ujana. Acha fitinaHuyo jamaa ni muhuni Ukitaka kumjua vizuri ingia Google kuna picha zake nyingi tu
mnashangaza sana nyie watu,kuitwa mfalme sio kua "mtukufu" huyo ni binadamu km wewe tu na ana maisha yake nje ya ufalme by the way mfalme hapigiwi kura anarithishwa uongozi so hakuna mchujo anaeeza hta kuwa mlevi mbwa na akawa mfalme...acheni mawazo ya ajabu.Ogopa Mungu kijana.
Mfalme wa Nchi anaweza kuvaa kipuuzi namna hii?
Au unadhani kupewa cheo cha UFALME ni kama balozi wa nyumba 10?
Mnaleta picha za kitoto kutukanisha watu na heshma zao?
Moderator please remove this post.
Au hamisha kwenye Jukwaa la vichekesho please.